Recent content by HAOMAR

  1. H

    ..... Since then I'm careful about the parties I attend.

    do you think ìs real on this story?
  2. H

    Wadau wa mtandao wa TIGO: Mtandao huu ni matapeli, wasumbufu, hawana adabu! WANAKERA

    Munajuwa t2fanyejee ili t2isha kabisa huu usumbufu !???
  3. H

    Mr Magufuli atua Kigambo Kivukoni kuzuia nauli mpya!

    Mii nat2mai coz dolla kwa sasa ipo juuu tena sana
  4. H

    Hivi Seif Sharif Hamad mke wake anaitwa nani?

    Wanapaswa muwambie wat2letee na zakwaoo au mumemaind sio ? Basi welcamuni znz
  5. H

    Urais wa Muungano 2015 ni zamu ya Zanzibar - Maalim Seif

    Wakati rais jakaya kikwete akiwa amebakiza takribani miaka minne kumalizika muda wake kikatiba huku wanasiasa ndani ya chama tawala ccm wakipigana vikumbo kutaka kurithi nafasi hiyo ya juu katika uongozi wa taifa, jarida la kimataifa la uchunguzi la uingereza la economic intelligence unit...
  6. H

    Wabunge na ujanja wao katika kukwepa swali la posho zao

    Mimi nadhani t2silijadili sana hili coz haito saidia kit2 kujadili kwet2 na isitoshe wao ndo wanaendelea kula hela zao t2nazani ndio itaondoshwa iyo posho mpya kwa kujadili kwet2?
  7. H

    Je, ni halali kwa daktari kuanzisha mahusiano na mgonjwa wake?

    Kwa mujibu wa maadili ya jobs(kazi) haitakiwi na sio nidhamu za kazi na jengne nakubali kwamba mt2 yeyote hula kazini kwake lakini nat2mai sio kula hii iliyokusudiwa ktk kaziiiiiiiiii!!! Doctor upoooo!! Fikiri kwanza !!!
  8. H

    Mh, Pinda kweli?? uliliwaza hili au limekutoka??utu uzima?!!

    Yahe kumbe hadi leo munalia umeme dah!! Poleni sana na mitihani iliyowafika watamzania musija iko sikuyataisha
  9. H

    Askari Polisi ajiua kwa risasi, kisa posho z wabunge

    Ila nadhani tutakuwa tum-discuss tu kitu ambacho hakina ushahidi mimi nadhani hayo ni maneno ya wanasiasa wanatutafuta tu lakini sidhani kuwa huyo mjama kajiuwa coz ya posho la wabunge kuongezwa natumai sio kweli sababu hamna ujumbe wowote aliowacha kabla ya kufa marehemu aliwa arifu kabla...
  10. H

    China: Dada mwafrika anyongwa (kosa la kujihusisha na madawa ya kulevya)

    Hi nkali tena yawasha lakini nataka niulize yule msanii wet2 watamzania yeye mbona alipenya ktk fagio la chuma au coz watamzania na uchina wanaukaribu sana au urafiki?
  11. H

    CUF, kwa staili ya alshabaab wasahau kwenda Ikulu

    Mimi nabaki nncheka t2 atalakusema sijui niseme au ninyamaze dah! Lakini wee acha t2
  12. H

    Askari Polisi ajiua kwa risasi, kisa posho z wabunge

    Dah ni ketendo cha kusikitisha sana nadhani ikiwa ni ukweli lakinushangaza uyo afande limemuuma ilo la kupandishwa kwa posho la wabunge t2 ? Hakuyaona ayo mengine kama ya "RICHMOND" na MENGINEYO au nk hayo pia alipaswa akereke na hayo yote nayo yanat2chukiza wengi nchini kwa iyo kutokana na...
  13. H

    Dah !! Hiii kali niloona

    Tanzania sasa ni miaka 50 ya uhuru tumesha sherehekea na tarehe 12/12/2011 ndio waziri mkuu alitia hitimisho ya maadhimisho ya kusherehekea ila kuna kit2kimoja nataka niulize ivi hizi sherehe ni za watamzania (watanzania ) au za wana ccm ?
Back
Top Bottom