Je, ni halali kwa daktari kuanzisha mahusiano na mgonjwa wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ni halali kwa daktari kuanzisha mahusiano na mgonjwa wake?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ozzie, Jul 17, 2011.

1. Ozzie

Ozzie JF-Expert Member

#1
Jul 17, 2011
Joined: Oct 9, 2007
Messages: 3,234
Likes Received: 38
Trophy Points: 135
[FONT=&amp] feet.jpg
[/FONT]
[FONT=&amp]Kwa mujibu wa kipima joto cha jarida la Pulse watumishi wengi wa afya nchini Uingereza wanapenda kulegeza maadili makali ya kutoruhusiwa kujenga mahusiano ya kingono na wale wanaowapa huduma za kiafya. [/FONT]
[FONT=&amp]
Daktari asiye bingwa Tony Grewal wa jijini London, anasema: "Kuzuiwa kabisa kuwa na mahusiano na wagonjwa au wagonjwa wa zamani ni zuio lisilo la sahihi katika haki za kutafuta furaha kwa madaktari na wagonjwa pia." [/FONT]

[FONT=&amp]
"Tunahitaji upya, mwongozo wa kijamii wenye mamlaka ambao utakubali kuwa mabadiriko katika miaka 20 iliyopita, yanadumisha umuhimu wa kulinda makundi yasiyo na uwezo wakufanya maamuzi dhidi ya unyonyaji au kulazimishwa kutenda kitu kwa nguvu,lakini ukitoa nafasi kwa hao wenye nia ya kuanzisha mahusiano sahihi."[/FONT]

[FONT=&amp]
Mwongozo wa sasa wa baraza la kitabibu Uingereza unasema: "Ili kudumisha mipaka ya kitaaluma, na imani ya wagonjwa na jamii, ni lazima usianzishe au kuwinda kuanzisha mahusiano ya kimapenzi au hisia zisizo sahihi na mgonjwa."[/FONT]

[FONT=&amp]
Madaktari pia hawaruhusiwi kutumia nafasi ya kutembelea wagonjwa majumbani kama njia yakuonana na ndugu za wagonjwa, na wanaruhusiwa kuanzisha mahusiano na wagonjwa wao wa zamani baada ya kuonana nao kijamii. Na ikiwa mgonjwa wa zamani alikuwa asiyeweza kufanya maamuzi kwa sababu ya matatizo ya afya ya akili ya "kukosa ukomavu," hapo wanazuiwa kuanzishwa mahusiano ya aina yoyote.[/FONT]

[FONT=&amp]
Ingawa kuna sheria hizo, mwaka 2009 madaktari wengi waliondolewa katika rejesta ya kitabibu ya nchini Uingereza kwa sababu ya kuwa na mahusiano yasiyo sahihi na wagonjwa wao kuliko sababu nyingine za kitabibu, ikihusisha matukio 15 kati ya matukio 83.[/FONT]

[FONT=&amp]
Chanjo: Gazeti la The Sun na The Telegraph[/FONT]

2. H

Hayati Member

#2
Sep 3, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 66
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Sio sahihi kwani daktari pia ni binadamu hivyo anashikwa na hisia km mtu wa kawaida.hivyo kumzua asimpende mtu kwa sababu ni mgonjwa wake ni kuingilia uhuru wa mapenzi.

3. Salanga

Salanga JF-Expert Member

#3
Sep 4, 2011
Joined: Nov 18, 2010
Messages: 375
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Madaktari wakiruhusiwa itakuwa ni full kuenjoy ,Tanzania hiyo ikoje?

4. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#4
Sep 4, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Nadhani si mbaya kwa daktari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mgonjwa kwan ktk mapenz haijalishi ni wap na nan mapenzi hujengwa. Mapenzi yapo popote na kwa watu wowote mbaya hapa ni pale daktari atakapo lazimisha mapenz kwa mgonjwa wake ama pale daktari anapogeuza ofisi yake kama guest house.

5. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#5
Sep 4, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
hii sio nzuri kabisa maana watashindwa kuwaudumia vizuri kutokana na kuleteana malovee wakati wa kazi.

kwa hili mi siungi mkono kabisa..

6. KakaKiiza

KakaKiiza JF-Expert Member

#6
Sep 4, 2011
Joined: Feb 16, 2010
Messages: 10,548
Likes Received: 2,276
Trophy Points: 280
Mimi naona nisahihi unataka kuniambia dereva taxi haruhusiwi kuwa na mahusiano na mteja wake?

7. kapotolo

kapotolo JF-Expert Member

#7
Sep 4, 2011
Joined: Sep 19, 2010
Messages: 3,727
Likes Received: 87
Trophy Points: 145
'Whatever houses I may visit, I will come for the benefit of the sick, remaining free of all intentional injustice, of all mischief and in particular of sexual relations with both female and male persons, be they free or slaves'.

Hii ni sehemu ya Hippocratic oath ambayo madaktari wote ulimwenguni wanaapa kuifuata, so Tanzania katazo ni lile lile.

8. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#8
Sep 4, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
ni minume na ethics za kazi yake kama ni muda wa kazi lakin....................kinyume na hapo ni anachezea kipande cha muhogo tu

9. ldd

ldd JF-Expert Member

#9
Sep 4, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 794
Likes Received: 29
Trophy Points: 45
kwani kambaka? mbona nyie walimu mnakula ma-dent? choir master na kwaya member! padri kwa ccta! we km domo zege umba tafu! utaishia kula kwa macho!

10. data

data JF-Expert Member

#10
Sep 4, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 16,798
Likes Received: 6,578
Trophy Points: 280

mmmmhhh..hatari hii..

11. Salanga

Salanga JF-Expert Member

#11
Sep 4, 2011
Joined: Nov 18, 2010
Messages: 375
Likes Received: 2
Trophy Points: 0  Kusema kweli mapenzi hata kwa mila na desturi za kiafrika mapenzi hayaendekezwi kizembezembe tu.

Kuachia hii kitu iwe free kutaichafua kabisa hii prefession.

Ni vizuri Daktari akajiheshimu kwanza kama Dr. na baadaye kama mwanajamii wa kawaida.

Mapenzi katika maana yake haswa ni kitu kizuri sana,lakini binadamu akitawaliwa na hisia ndipo huwa shida.

12. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#12
Sep 4, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Conflict of interest

13. Nyalotsi

Nyalotsi JF-Expert Member

#13
Sep 4, 2011
Joined: Jul 20, 2011
Messages: 5,105
Likes Received: 552
Trophy Points: 280
make ur patient to bcome ur lover but dont change ur patient to be ur lover. Teh,teh!

14. Salanga

Salanga JF-Expert Member

#14
Sep 4, 2011
Joined: Nov 18, 2010
Messages: 375
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Hii inaweza saidia kutupunguzia stress maanake baada ya kupiga vitabu vikubwavikubwa miaka 6, hasa kwa akina dada wanaosema doctor doctor doctor I love uuuuuu!

15. Nzowa Godat

Nzowa Godat JF-Expert Member

#15
Sep 4, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 2,630
Likes Received: 153
Trophy Points: 160

Hivi Guest house si nyumba ya kulala wageni, awe mchungaji, sheikhe, padre, nabii, maalim, papa (pope), n.k. au?

16. Nyalotsi

Nyalotsi JF-Expert Member

#16
Sep 4, 2011
Joined: Jul 20, 2011
Messages: 5,105
Likes Received: 552
Trophy Points: 280

akikuhudumia vzuri we mwenyewe ukamzimia c unamwachia? Hii ni baada ya kupona lakini.

17. BlackBerry

BlackBerry JF-Expert Member

#17
Sep 5, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 1,844
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
ni kuvunja maadili ya kazi, haitakiwi itaonekana kama ulimforce ili umpe huduma

18. Biohazard

Biohazard JF-Expert Member

#18
Sep 5, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 2,002
Likes Received: 286
Trophy Points: 180
Kwani Mchungaji huruhusiwi kuoa muumini? au Mhadhiri wa chuo kuoa mwanafunzi wa chuo hairuhusiwi? kama inaruhusiwa basi ni fair.

19. J

JF mteule Member

#19
Nov 3, 2011
Joined: May 23, 2011
Messages: 34
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
hapa hakuna tatizo cha muhimu iwe baada ya mgonjwa kupona na daktari awe ana mpango wa kumuoa na siyo kumuharibia maisha vinginevyo hafai kuwa daktari.

20. H

HAOMAR Member

#20
Dec 18, 2011
Joined: Nov 30, 2011
Messages: 16
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kwa mujibu wa maadili ya jobs(kazi) haitakiwi na sio nidhamu za kazi na jengne nakubali kwamba mt2 yeyote hula kazini kwake lakini nat2mai sio kula hii iliyokusudiwa ktk kaziiiiiiiiii!!! Doctor upoooo!! Fikiri kwanza !!!

Loading...