Hivi Seif Sharif Hamad mke wake anaitwa nani?

magaka Makoye

Member
Sep 11, 2011
5
2
Wana Jamii kuna jambo limepelekea leo kuuliza mke wa Makamu wa kwanza wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Seif Shariff Hamad.
Nimeanza kumtambua Seif tangu nikiwa mtoto mdogo lakini mwenye uelewa wakati ule alikuwa ni Waziri Kiongozi wa serikali hiyo ya Mapinduzi Zanzibar mpaka alipokuja kuwekwa kizuizini na hatimaye kuachiwa mnamo mwaka 1988. Katika miaka yote hiyo sijawahi kusikia Seif ana mke au kumuona ama kuambiwa mke wa Seif Shariff Hamad ni fulani. Nimeonelea niandike humu kwenye forum yetu ili mnifahamishe maana kwenye sherehe za Mapinduzi (tarehe 12/01/2012) viongozi wengi walikuja na wake zao lakini yeye alikuja pekeyake!
Mwenye kunijibu vizuri atakuwa amenisaidia sana maana hata mtoto wa Seif Shariff Hamad sijawahi kumsikia!!! Nisaidieni jamani.
 
Mkewe anaitwa Bi Awena.
 
mke-seif.jpg
 
Watu tuna hulka tofauti nafikiri naye ni mmoja ya wanaume asiyependa kutoka na mke wake.Na hii ni kawaida sana labda hapo juu mdau kakusaidia uione picha ya mke wake.
 
Mtoto mzuri, na anaonekana ana maadili ya dini, hapendi kuuza sura ovyo kama wengine
 
Hata hivyo maisha aliyoishi Maalim Seif pale Starlight Hotel yanaacha maswali mengi bila majibu. Ndiyo maana status yake kojinsia inaulizwa
 
Kama angekuwa hana mke ingekuwa tatizo? Kuna watu hawajaoa, hawataki kuoa au wamefiwa na wake zao hawataki kuoa tena.

Ina maana hawa hawafai uongozi?
 
Tuwekeeni na picha za watoto wa kike wa Slaa pamoja na mama zao! Tuwaone wengine hatuwajui
 
Hata hivyo maisha aliyoishi Maalim Seif pale Starlight Hotel yanaacha maswali mengi bila majibu. Ndiyo maana status yake kojinsia inaulizwa

​sasa tuonesheni ya mke wa slaa sio hawara namba mbili au hawara na 1 ati mnaita mchumba na mchumba mja mzito du padre fisadi wa ngono
 
Wana Jamii kuna jambo limepelekea leo kuuliza mke wa Makamu wa kwanza wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Seif Shariff Hamad.
Nimeanza kumtambua Seif tangu nikiwa mtoto mdogo lakini mwenye uelewa wakati ule alikuwa ni Waziri Kiongozi wa serikali hiyo ya Mapinduzi Zanzibar mpaka alipokuja kuwekwa kizuizini na hatimaye kuachiwa mnamo mwaka 1988. Katika miaka yote hiyo sijawahi kusikia Seif ana mke au kumuona ama kuambiwa mke wa Seif Shariff Hamad ni fulani. Nimeonelea niandike humu kwenye forum yetu ili mnifahamishe maana kwenye sherehe za Mapinduzi (tarehe 12/01/2012) viongozi wengi walikuja na wake zao lakini yeye alikuja pekeyake!
Mwenye kunijibu vizuri atakuwa amenisaidia sana maana hata mtoto wa Seif Shariff Hamad sijawahi kumsikia!!! Nisaidieni jamani.

Unaulizia wake za watu humu! Lengo lako ni nini hasa?
 
muislam hata asipokua na mke anatakiwa afunge kila siku ili asitamani wake za watu na wasio halali yake..
 
maswali mengine kama ya kijinga lakini yana msingi..

Nayaheshimu mawazo yako, hata hivyo kwa mimi swali hili naliona halina msingi ! Ni swali la KIPI- K (PASUA KICHWA!).
Walau angeuliza je ? Mh. ana mke ? Hilo sawa. Lakini kuuliza jina la mke wa mwenyewe inahusu nini ?
Je ? Muulizaji kutwa nzima akiendelea kuuliza majina ya wake za watu (viongozi) mmoja baada ya mwingine mtakua mnamtajia ? Na mkiwa mnatajia atakua ana benefit nini ?
 
Back
Top Bottom