Askari Polisi ajiua kwa risasi, kisa posho z wabunge

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
Askari Polisi jijini Dar es salaam emejiua kwa kujipiga risasi kichwani akiwa na wenzake lindoni.
Taarifa za awali zinasema askari huyo kabla ya kuchukua hatua hiyo alikuwa akilalamikia kitendo cha wabunge kujipandiashia posho hadi laki mbili kwa siku, wakati yeye anaipata kwa mwezi, tena baada ya kulala sana nje na mapambano kadhaa ya risasi dhidi ya waharifu.
Source: Radio station
 
Wa Tunisia hakuwa polisi, alikuwa raia wa kawaida. Tunapata picha gani? (iwapo habari ni ya kweli) na tufanye nini? Je hao polisi wenzake wanaliona tatizo?
 
Askari Polisi jijini Dar es salaam emejiua kwa kujipiga risasi kichwani akiwa na wenzake lindoni.
Taarifa za awali zinasema askari huyo kabla ya kuchukua hatua hiyo alikuwa akilalamikia kitendo cha wabunge kujipandiashia posho hadi laki mbili kwa siku, wakati yeye anaipata kwa mwezi, tena baada ya kulala sana nje na mapambano kadhaa ya risasi dhidi ya waharifu.
Source: Radio station
Samahani mkuu hapo kwenye RED hiyo ndio redio gani? i just heard this redio from u for the first time.
 
Source: Clouds FM

384859_200459370038904_179250545493120_447999_1720177424_n.jpg
 
Hakika vilema wa UFISADI tumejaa kute nchini na wafu wa gonjwa hili hatari hawana idadi. Kweli rushwa ni unyama!!
 
i reserve my comment untill further in4 koz argument nyngne znahuzunisha humu.
 
sizani..labda askari wazamiaji.maana watanzania unawatosha na wanafurahia kupiga mabomu kuliko mshahara.
 
Dah ni ketendo cha kusikitisha sana nadhani ikiwa ni ukweli lakinushangaza uyo afande limemuuma ilo la kupandishwa kwa posho la wabunge t2 ?
Hakuyaona ayo mengine kama ya "RICHMOND" na MENGINEYO au nk hayo pia alipaswa akereke na hayo yote nayo yanat2chukiza wengi nchini kwa iyo kutokana na maana iyo yeye uyumjamaa yote ayo yeye hakuyaona au alikuwa hayupo nchini yote hayo yanawezekana nat2mai inawezekana jamani ikawa uyu afande alikuwa ayupo nchini alit2wa karibuni t2 nchini dah lakini inasikitisha sana MUNGU AMLAZE PAALA PEMA
 
Hili swala sio la kucheka kabisa!!
Ingekua ni nchi nyingine leo Posta pasingekalika!!
Ukweli inauma sana m'bunge kung'ang'ania laki 2 kwa siku wakati anajua fika anam'bebesha nzigo huo mlalahoi!!
 
Yaaa... Hawa ndo wameshirkiana na mafisadi kutupiga marufuku kuandamana dhidi yao, na wameahidi tutakapokuwa tunaandaa maandamano wao watakuwa wanajaza magazini zao idadi ya kutosha ya risasi na tukithubutu kuandamana ni kutuchapa risasi kwenda mbele, haya bwana mola ndo muweza ya yote....
 
kama ni kweli kajiua kisa posho na ugumu wa maisha basi hili ni jambo la kulitazama kwa makini kwani ingekua nchi nyingine pasingetosha.
Wanasiasa wamelewa madaraka wamejisahau.
 
Askari Polisi jijini Dar es salaam emejiua kwa kujipiga risasi kichwani akiwa na wenzake lindoni.
Taarifa za awali zinasema askari huyo kabla ya kuchukua hatua hiyo alikuwa akilalamikia kitendo cha wabunge kujipandiashia posho hadi laki mbili kwa siku, wakati yeye anaipata kwa mwezi, tena baada ya kulala sana nje na mapambano kadhaa ya risasi dhidi ya waharifu.
Source: Radio station

hawajamaa wanatumika kama kondom alafu hawajitambui, sidhani kama huyo askari anauchungu kiasi icho, uyo atakuwa kaachika stress zake ndo akajiua
 
The school of thought under extentialism believes that:individual is responsible for his or her actions.Namanisha kwamba amejiadabisha kama yeye alivyowafanyia wanadamu wenzie!
 
kama ni kweli kajiua kisa posho na ugumu wa maisha basi hili ni jambo la kulitazama kwa makini kwani ingekua nchi nyingine pasingetosha.
Wanasiasa wamelewa madaraka wamejisahau.

Usimacho ni kweli kabisa, ila ninachojiuliza ni je tuna watu katika top layer wenye miyo yenye uwezo wa kuguswa na maisha ya watu kama sisi au huyo askari?
 
Yaaa... Hawa ndo wameshirkiana na mafisadi kutupiga marufuku kuandamana dhidi yao, na wameahidi tutakapokuwa tunaandaa maandamano wao watakuwa wanajaza magazini zao idadi ya kutosha ya risasi na tukithubutu kuandamana ni kutuchapa risasi kwenda mbele, haya bwana mola ndo muweza ya yote....

si askari wote ambao huwa na mitazamo huona hayo yote ni sawa kwa raia kutendewa.
 
The school of thought under extentialism believes that:individual is responsible for his or her actions.Namanisha kwamba amejiadabisha kama yeye alivyowafanyia wanadamu wenzie!

With all due respects sir, I agree to the quote from the school of thought, but I wonder if you used on the right place.
It sounds like a true story under the wrong title.
 
Back
Top Bottom