Recent content by Hammy Trafford

  1. H

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe ni mzuri wa kuandika ila sio kwenye TV au redio

    Upo Sahihi Lakin pia Hata Shaffih Dauda Ni Mzuri Kwenye Kuongea kuliko Kuandika Sishangai Kila Mmoja Yupo Kwenye Upande Wake Na Wanafanya Vizuri
  2. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pole sana mkuu ila hapo kwenye swala la Ole Endelea kumkubali wewe kama Wewe Samahani lakini[emoji23][emoji23]
  3. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mfumo upi tunaotumia leo!!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ligi zimeisha hawa ndio wachambuzi wangu bora wa michezo2020

    1 George Ambangile 2 Ali Kamwe 3 Gef lea 4 Oscar Oscar 5 Ally Mayai 6 Shaffih Dauda
  5. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ufafanuzi mwenye kujua Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kaka umetema sana madini salute kwako mzee[emoji1316] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Siku kama ya Leo tulitapeliana[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hizi ratio za pesa huwa zinatolewaje

    Hizi ratio za pesa huwa zinatolewaje ? Wanatumia vigezo gani? Mfano unaambiwa elfu kumi ya Kenya ni laki kwa tanzania Sent using Jamii Forums mobile app Sent using Jamii Forums mobile app
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wanastahili pongezi wachezaji na benchi la ufundi

    TANZANIA Na Xavi Hernandez Alcantara Tungeweza kuwafunga mapema tu Burundi hata kule kwenye penati tusingefika bila shaka lakini tushukuru kwa ushindi Ambao tumeupata kupitia mikwaju ya penalti. Wachezaji wa Burundi wakiondoka basi bila shaka watakuwa wakiulizana. Juma Kaseja anacheza Raja...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sasa Nasemaje tengeneza kikosi chako unachokijua halafu kilete kicheze na Manchester united Eti Maguire anajificha kwenye takwimu!!!!tengeneza hoja acha chuki na kuchambua mpira kishamba
  11. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mzee baba kama kawaida beki 3
  12. H

    JamiiForums Tanzania "Kwangu mimi Messi ndie mchezaji bora duniani kuwahi kumshuhudia" - Thiago Silver

    Kwangu mimi Zana colibaly
  13. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji3]
  14. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Martial anatakiwa kuongeza bidii mnoo, sio leo wala jana hichi kitu kmeonekana kwa martial. Greenwood naona aanze kama RW msimu ujao kama tusipopata mtu. Pogba kiukwel ni mchezaj mzur sana hakuna anaebisha hili nadhan kila mtu anajua, kinachomuangusha ni attitude na mentality yake tu bas...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ni mchezaji wa kawaida sana anakuzwa mno

    Kwako wewe mchezaji mzuri unamuangalia katika engo ipi!! Au unatumia vigezo gani kumtambua mchezaji mzuri!! Tuamimishe nasisi pia tuamini kile ulichoandika
Back
Top Bottom