Hizi ratio za pesa huwa zinatolewaje

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,719
2,000
Kuna aina 2 ya ku determine exchange rate ya nchi

1.Demand and supply forces ya fedha ya nchi husika hii inaitwa floating exchange rate system

2.Fixed exchange rate system:haya ni makubaliano official kati ya nchi na nchi kuweka kiwango maalumu ya kubadilishana fedha (ina faida na hasara yake pia e.g. China )

Moja ya effect ya moja kwa moja ya hizo njia zote 2 inaathiri

A.Trade kati ya nchi na nchi -flow of goods kwa kuangalia dimension ya price (bei ya vitu) then effect ipo kwenye export and importation ya bidhaa

B.Purchasing power uwezo wa kununua wa mlaji

Kwa wewe naomba niishie hapa ila ni topic kwa watu wanaosoma finance na ina theories kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom