Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Martial anatakiwa kuongeza bidii mnoo, sio leo wala jana hichi kitu kmeonekana kwa martial.

Greenwood naona aanze kama RW msimu ujao kama tusipopata mtu.

Pogba kiukwel ni mchezaj mzur sana hakuna anaebisha hili nadhan kila mtu anajua, kinachomuangusha ni attitude na mentality yake tu bas, akiamua kua serious na kupambana vilvyo jamaa ni bonge la player kiukwel.

All in all mm sjachek game lakn assesment yako nimeielewa mkuu, japo sjaona comments za DJ na AWB apo
Haya pia ni maajabu mtu hujaAngalia game ila unamponda Pogba .. Bongo nyoso..
 
Dj na AWB wameperform vizur sn mkuu..
 
Paulo Pobga akibaki manure ntamdharau sana, kwa kiwango chake sio mchezaji wa kucheza Europa aise..akomae kama Antonio Gree asepe zake..
 
tukiwapata maguire na bruno wanatosha sana mbele tunatalent za madogo kina grenwood tuwaamini tu wakisaidiana na kina rashford tutatoboa tu
 
Hahaha EPL siyo league ya kutegemea watoto. Tunahitaji wanaume watatu au wanne hivi kuimarisha team.
 
Back
Top Bottom