Edo Kumwembe ni mzuri wa kuandika ila sio kwenye TV au redio

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,039
35,922
Enzi niko sekondari nilikuwa napata marks za juu somo la English ila kuongea ilikuwa shida.

Sasa huyo kumwembe nimefuatilia makala zake kwenye mitandao na gazetini yuko vizuri.

Sababu inaonekana huwa anafanya research kabla ya kuandika, lakini kwenye TV na radio si mzuri, hana sauti, anakosa mtiririko wa kimantiki. Good-looking but not photogenic.

Jina tu linambeba.
 
Kuandika ni mzuri lakini magazeti yana phase out..
Uchambuzi wa kuongea na redio hawezi ..

Iliyobaki atumie Tu jina lake hivyo hivyo..

Hata Shafii dauda ana kigugumizi lakini ndo mtangazaji maarufu..

Mda wao utakuja wote watakuwa replaced..

Kama nchi tumetoka mbali..

Watu hawajui hata Muhidin Issa michuzi aliwahi kuwa mchambuzi wa soka kwenye TV

Mimi bado nakumbuka kuwaona
Dr leaky kushoto ..
Muhidin michuzi katikati
Kulia Eddo ..ndo kwaanza kajitokeza bila hata kulipwa hela kuchambua mpira

Dtv ...

Hii channel bado ipo??
Cc pascal Mayala ....

Hata Pascal alikuwa mwandishi wa michezo
Na sio siasa hapo Dtv ...dah gone the golden days
 
Kumbe muhenga mzee mwenzangu.dk leakey ndiio baba wa wachambuzi wote nchini.ila yeye alikuwa anajua kuchambua mechi za nje tu sio hizi za utopolo anadai mara ya mwisho kwenda uwanjani hapa bongo ni zaidi ya miaka 30
 
Enzi niko sekondari nilikuwa napata marks za juu somo la English ila kuongea ilikuwa shida.

Sasa huyo kumwembe nimefuatilia makala zake kwenye mitandao na gazetini yuko vizuri.

Sababu inaonekana huwa anafanya research kabla ya kuandika, lakini kwenye TV na radio si mzuri, hana sauti, anakosa mtiririko wa kimantiki. Good-looking but not photogenic.

Jina tu linambeba.
Kwa unavyomchukia nahisi amekukazia.
 
Kuandika ni mzuri lakini magazeti yana phase out..
Uchambuzi wa kuongea na redio hawezi ..

Iliyobaki atumie Tu jina lake hivyo hivyo..

Hata Shafii dauda ana kigugumizi lakini ndo mtangazaji maarufu..

Mda wao utakuja wote watakuwa replaced..

Kama nchi tumetoka mbali..

Watu hawajui hata Muhidin Issa michuzi aliwahi kuwa mchambuzi wa soka kwenye TV

Mimi bado nakumbuka kuwaona
Dr leaky kushoto ..
Muhidin michuzi katikati
Kulia Eddo ..ndo kwaanza kajitokeza bila hata kulipwa hela kuchambua mpira

Dtv ...

Hii channel bado ipo??
Cc pascal Mayala ....

Hata Pascal alikuwa mwandishi wa michezo
Na sio siasa hapo Dtv ...dah gone the golden da
Tena shafii kigugumizi chake kinapotea kidogo dogo skuiz enzi anaanza ilikua htry sana,
Maestro ndo alikua ana mmentor.
Kuna sku maestro alimkumbushia how he started jamaa alikua mdogo ghafla.
Maana kuongea t ilikua shida neno analitafuta mojamoja kwa kigugumizi,
niliskiliza ile show masku yale hadi leo naikumbuka .
Watu wanaanza mbali sana.
 
Back
Top Bottom