Umenichekesha sana alivyokuwa anaripoti wakati magufuli anafanya usafi kule soko la samaki hukuongea hata alipoenda hazina kwa mguu hukuongea sasa hv anamripoti anakandamiza Uhuru wa watu kujieleza na uchumi mbovu unatoka povu la nn
Story nzuri sana hongera sana nimejifunza mengi kumbe marekani ni hatari sana kuliko tunavyofikiri naanza kupata shaka hata Yale mapinduzi ya Tunisia nadhani yenyewe ni master plan
Mara nyng njia unayotumia kupanda ngaz ndyo utakayoshukia bwana daudi alichagua shortcut way kufikia kilele cha mafanikio na kweli alifanikiwa kwan akiwa kijana mdogo below 30 ashakuwa mtu muhimu na mwenye nguvu ktk serikali sasa naliona anguko lake ktk njia ileile aliyopandia ni muda tu utaongea
Nafikiri mwenyez mungu ameumba wanawake wengi kuliko wanaume ili kuleta utulivu ktk dunia hebu fikiria wanawake wangekuwa wachache kuliko wanaume hii dunia ingekalika
Sioni sehemu anayoweza kutokea profesa hyo kwake ni fursa kubwa lazma achukue wasomi wetu Wa Tanzania usiwaamini hata kidogo kwao pesa kwanza taaluma baadae huo ni mtego kashaingia
Siyo rahisi kufikia malengo ya kisiasa kwa kupambana na wawekezaji sitaki kuamini kwamba mlima huo ni lazma tank lijengwe hapo tu na cyo pengine nafikiri kuna kitu ndani ya hili sakata na ninaamini sasa tunajielekeza kuwakimbiza wawekezaji kwan cjui kama kuna mwekezaji ataweza kuja kuwekeza ktk...
Huyu Shekhe ananichekesha sana si huyu alimfananisha uongozi Wa magu kama Wa swahaba umar bin abitwalibu sasa diamond kuswala rakaa mbili imekuwa kosa kubwa kuliko alilofanya yy na mbona sadaka anazotoa mnazipokea acheni unafiki
Ukiwa kama kiongozi Wa nchi ni lazima ujue unaongoza watu Wa aina zote kuanzia matajiri hadi maskini na wakulima wafanyabiashara, wafanyakazi hvyo ni lazma uchague maneno ya kuongea kwani hao wote ni Wa kwako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.