Recent content by Hajulikani

  1. Hajulikani

    JamiiForums Tanzania Utajuaje matairi ya gari lako ni kwa ajili ya maeneo ya baridi?

    Habarini wadau, Nimenunua gari used kutoka japana mnamo mwezi wa 5, mpaka sasa nimetembea km 700, sijabadilisha tyres, ninataka niende safari ya mkoani kuna mtu akaniambia itabidi nibadilishe tyre niweke mpya kwasababu tyre gari iliyokuja nazo yawezekana ni kwa ajili ya maeneo ya baridi. Tyre...
  2. Hajulikani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutaka mtoto wa kiume baada ya mtoto wa kwanza kuwa wa kike...

    Wanadoa wengi wanapenda wapate watoto wa kiume na wakike. Ila changamoto ni kupata mtoto wa kiume.
  3. Hajulikani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutaka mtoto wa kiume baada ya mtoto wa kwanza kuwa wa kike...

    Habarini wadau, Nina rafiki yangu kwao wamezaliwa watoto wa kike wanne wote. Rafiki yangu ananisimulia kwamba baba na mama wanamjali sana mtoto wao wa kwanza wa kike mpaka huwa wanawaambia sisi tulikua tunategemea wa kiume wa pili ndio wewe ukazaliwa, mtoto wa kwanza wa akifanya kosa...
  4. Hajulikani

    JamiiForums Tanzania Biashara nzuri(side husle) kwa mfanyakazi inayohitaji usimamizi mdogo

    Wadau naomba ushauri nifanye biashara gani ambayo haihitaji usimamizi kuanzia saa 2 asubuhi napoingia kazini mpaka saa 11 jioni
  5. Hajulikani

    JamiiForums Tanzania Asilimia ya kodi ya nyumba kwenye Mshahara

    Wadau, Wataalamu wa personal finance kibongobongo unatakiwa kodi ya nyumba isizidi asilimia ngapi ya mshahara wako?
  6. Hajulikani

    JamiiForums Tanzania Kulipwa Mshahara Mkubwa Serikalini inategemea Nini UTUMISHI?

    Nakushauri ujitahidi na wewe uingie kwenye hizo taasisi ulipwe hiyo mishahara sio kulalamika
  7. Hajulikani

    JamiiForums Tanzania ‘Motivational Speakers’ wanaweza kuharibu maisha ya waajiriwa

    Usimsikilize Motivational Speaker ila angalia yeye alichofanikisha katika maisha yake. Sent from my SM-A750F using JamiiForums mobile app
  8. Hajulikani

    JamiiForums Tanzania Biashara gani inafaa Mjini Tanga

    Wadau naishi Mjini Tanga, nina Mtaji wa Milioni 10, Biashara gani inafaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Hajulikani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IPv4 No Internet

    Yan Moderm ya router 4gLte, Yan computer ina connect na WIFI lakini haiwezi kuingia kwenye Internet, wakati computer yenzake iliyoconnect na WIFI hiyo inaingia kwenye Internet Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Hajulikani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IPv4 No Internet

    Habarini Wadau, Nina Ofisi yangu hapa Mwanza ya Internet Cafe, hivi majuzi nimeanza kutumia Moderm ya Voda ambayo inasupply internet kwa ajili ya Computer zangu. Sasa Kati ya Computer 5 nilizonazo moja tu ndio ina connect na Inernet kupitia WIFi nyingine zilizobaki zinasoma WIFI na Kuconnect...
  11. Hajulikani

    JamiiForums Tanzania Je, Mjamzito kupata hedhi kuna tatizo?

    Siku ya Pili ya Hedhi alipima ikaonekana Positive na leo siku ya 5 ya Hedhi amepima imeonyesha Positive. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Hajulikani

    JamiiForums Tanzania Je, Mjamzito kupata hedhi kuna tatizo?

    Habari za Jumapili Wadau, Mke wangu amepima kipimo cha mimba inaonyesha Positive, lakini Damu ya Hedhi inaendelea kutoka nini maana yake? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Hajulikani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya hizi ndoto za kimapenzi

    I Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Hajulikani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya hizi ndoto za kimapenzi

    Katika muendelezo wa zile Ndoto, leo nimeota nimelala na mwanamke ambae simjui na nimeamka asubuhi nimechafua Boxer yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Hajulikani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

    Mwache aende zake, alafu we tafuta mzigo uuweke ndani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom