Isizidi 10% ya take home ya mshahara wako!
Zaidi ya hapo huwezi kuendelea wala kujenga ya kwako na utakuwa ni kama unamtafutia mwenye nyumba tu.
Faida moja wapo zaidi ni kwamba kodi ya pango ikiwa 10% unaweza kwama kulipa ikitokea dharura na ukamwomba mwenye nyumba mwezi mmoja tu then mwisho wa mwezi unalipa hela yote ya miezi sita au zaidi bila wasiwasi.
Angalizo; Ukiona Kodi ya pango ya miezi sita unaitafuta zaidi ya mwezi mmoja huwezi kuwa na savings na ukikosa savings huwesi kuwekeza na usipowekeza huwezi kuendelea na usipoendelea utabaki hapo hapo huwezi hata kujenga yako.