Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Wadau niko kwenye Ndoa kwa miaka kadhaa sasa.
Ndani ya miezi miwili iliyopita nimeota ndoto ambazo zinafanana sana;
Ya kwanza niliota mwezi uliopita, niliotamwanaume ambaye simfahamu amekuja nyumbani kwangu mke wangu na mimi tukampokea kama mgeni maalumu, mke wangu akampikia chakula , akamtengea na maji ya kuoga na akaenda kulala nae chumba chetu huku mimi nikienda kulala chumba cha wageni.
Ndoto ya pili nimeota mimi na mwanaume mwingine ambaye simfahamu tunafanya mapenzi na mke wangu kwa zamu, yaani threesome kw kiingereza.
Ndoto hizi zina maana gani.
Sent using Jamii Forums mobile app