kubleed ile ya hedhi au ni damu tu inatoka...Wakuu salaam.
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye mada. Nina mke wangu ambae ni mjamzito mwezi mmoja na wiki mbili. Nimeshangazwa aliponiambia amebleed, lakini hakuna maumivu yoyote. Sasa wakuu hii ni kawaida au ni tatizo tumwone daktari?
Msaada tafadhali.
Vp ulipataje majibu kunandugu yangu yamemtokeaNa mimi nilitaka nianzishe uzi kama huu..nimepata shida kama hii..mwezi wa tatu sikuona siku zangu nikapima nikaona nina mimba...ila tangu jana nimeanza kuona damu na leop asubuhi bado kama inaanza kuongezeka.nitaenda hosp ,manake naona maajabu
ulipataje majibu kunamtu yamemtokea apaNa mimi nilitaka nianzishe uzi kama huu..nimepata shida kama hii..mwezi wa tatu sikuona siku zangu nikapima nikaona nina mimba...ila tangu jana nimeanza kuona damu na leop asubuhi bado kama inaanza kuongezeka.nitaenda hosp ,manake naona maajabu
Yah huwa inatishia kutoka..Nimeipenda hiyo, mimba inatishia kutoka ila haitaki kutoka ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app