Ally Lipende
Member
- Dec 27, 2017
- 90
- 61
Mke wa kwangu vipimo negative lakini Hedhi haitoki
Hahahaa kwelNimeipenda hiyo, mimba inatishia kutoka ila haitaki kutoka ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hua kuna kuchelewa kutokana na sababu tofaut tofauti. Ila kama haijatoka mda mrefu sana mpeleke hospital kwa vipimo zaidi.Mke wa kwangu vipimo negative lakini Hedhi haitoki
Mwezi wa pili huu hakuna dalili ya mimba na hedhi hajapata.Hua kuna kuchelewa kutokana na sababu tofaut tofauti. Ila kama haijatoka mda mrefu sana mpeleke hospital kwa vipimo zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke hospital akacheki, japo anaweza kua hana tatizo piaMwezi wa pili huu hakuna dalili ya mimba na hedhi hajapata.
Mimba inatishia kutoka,
Na kama damu imetoka siku tatu mfululizo, there is no longer for pregnant to continue, tayari mimba inatoka.
Siku ya Pili ya Hedhi alipima ikaonekana Positive na leo siku ya 5 ya Hedhi amepima imeonyesha Positive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo damu unayosema wew ni hedhi ndio mimba kutoka.Siku ya Pili ya Hedhi alipima ikaonekana Positive na leo siku ya 5 ya Hedhi amepima imeonyesha Positive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Suriya una English ya Ajabu Sana hahahaMimba inatishia kutoka,
Na kama damu imetoka siku tatu mfululizo, there is no longer for pregnant to continue, tayari mimba inatoka.
Ahsante Mkuu..nilienda maternity hospital moja wakamfanyia ULTRASOUND na wakasema hana tatizo na mimba ina miezi 3 na week 3!!!! Wakarekommend bed rest na dawa hawakunipa.ila wakazuia any unyumba activities.Pole sana mkuu...
Hiy ni hali inayoweza kujitokeza kwa mama mjamzito hasa katika kipindi cha umri wa mimba chini ya wiki ya 28. Baadhi ya sababu zinazoweza sababisha ni
i) Kutoka kwa mimba
ii) Mimba nje ya mji wa uzazi
iii) Uvimbe ktk kondo la nyuma(placenta)
iv) Sababu za kienyeji
Nakushauri umuwahishe mke wako hospital kabla mambo hayaja haribika
Thanks ......hizo vitamins zaweza patikana VPNi hali ambayo ni yakawaida, endapo itatoka tone chache tu za damu na kukata.
Supplement for vitamin and iron is needed to all pregnant.
Jitahidi uende clinic...ama ukamuone daktari...dalili hizo sio nzuri kabisa
Nenda pharmacy kanunue, pregnant care.
SawaNenda pharmacy kanunue, pregnant care.
Hivyo vidonge vina vitamins, ferrous na folic
Mjamzito asisahau kupima vipimo vya clinic especially mkojo, kuhakikisha hakuna tatizo.