Recent content by Hadza

  1. Hadza

    JamiiForums Tanzania FINLAND kufuta masomo yote mashuleni

    Kwa Tanzania labda mpaka 2090 maana, very nice kwa kweli
  2. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedukua Mawasiliano ya Mke wangu- Weka Mbali na watoto!

    Pole sana mkuu, ndio basi tena, haikuwa bahati yako, you played your part well. (Nawaza sijui nikufwate dm) just kidding, lol
  3. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya huyu boss

    Pole sana mkuu, mimi boss wangu alikuwa mpaka ananiita bogus, hakuna unachokifanya kwake kikaonekana chema. Muda wa kuripoti ofisini ni sa mbili kamili ila alikuwa anataka mtu aingie sa moja na nusu. Ukienda lunch one hour anakusema, anasema watanzania ni wavivu wanapenda kula. Muda wa kutoka...
  4. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madada zangu hili ni kawaida? Au ni huyu niliye naye?

    Cha kumliza hapo ni nini hasa? Huyo ni mchoyo mkuu, na hata ukimuoa siku ukiishiwa hawezi kukusaidia kwa lolote. Kama uko tayari kuwa na mke wa design hiyo ni maamuzi yako
  5. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha 'housegirl' kulalia kitanda cha bosi

    Hii thread inafurahisha tu ila hiyo kitu haiwezi kutokea. Ina maana baba mwenye nyumba hajui mwili wa house girl na wa mkewe. Kama house girl alikuwa uchi its obvious kuwa mume ameona kabisa kuwa si mkuewe. Maana mpk amlaze vizuri, amfunike shuka, amkumbatie, yeye hajui tu muda wote. Hilo...
  6. Hadza

    JamiiForums Tanzania Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

    mi zangu ndefu, ngoja waje wenye uzoefu. Hongera kwa kukimbia gharama za saloon kila week.
  7. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumbani kuna matatizo

    aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  8. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    Hapo kiukweli kabisa, tatizo sio la kurusha mtandaoni au nini, ila inavyoonekana huyo mwanaume hayuko proud na mkewe, either hampendi au lah. Hakuna kitu kibaya kama kuonekana hauna thamani. Hapo mwanaume anaona thamani ya amwanamke tu akiwa ndani ila in public haoni thamani yake. Hivi kwenye...
  9. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo umetupotezea timing ya fumanizi, dah imekula kwetu

    duuuuuu
  10. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

    Nahisi unaweza ukawa ni mfatiliaji mzuri za telemundo na tamthilia za kifilipino. Keep on praying.
  11. Hadza

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

    khaaaaa watu mafuku fuku balaa
  12. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mahusiano plz

    basi huyo anayake, achana nae atakusumbua kichwa mbeleni, may be utoto bado unamsumbua
  13. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka hasira zinanipanda. Mchepuko umenidhulumu Sh milioni 3

    :D Sasa ndio umeamua kuja kunisema huku jamii forum, papuchi hautakaa upate tena kadhalika na pesa ndio usahau.
  14. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitakuchukia for the rest of my life

    Aisee haya mapenzi haya balaa. We tafuta tu ajira uache maisha yaende. Jifunze kumuacha aende. Si ajabu yeye hata hakukumbuki, wewe uko busy kusema hautasamehe. Mkuu, usiposamehe still moyo wako utakuwa na mzigo sana na hiyo itakufanya usipende tena. Mshukuru Mungu kwa yote na uanze upya...
  15. Hadza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nina mkosi au nina tatizo la ziada kwenye mapenzi hata sijielewi nimechanganyikiwa

    Inabidi tutafutane maana seems like wote tumeumizwa, tupozane, just kidding. Mkuu hebu jiangalie upya tabia zake yaelekea unamapungufu ambayo wewe mwenyewe ni ngumu kuyatambua. Hiyo hali ilishawahi kunikuta ikabidi nitafute one of my x nikamwambia naomba unichane live yani niambie mapungufu...
Back
Top Bottom