KAJOBO
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 409
- 355
House girl alitandikaa kitanda cha boss wake kama sehemu ya jukumu lake. Alipomaliza akakiangalia kile kitanda akajisemea, " naweza kufa bila kukilalia hiki kitanda kizuri". Akavua nguo zake zote akalala kwenye kile kitanda kama sehemu ya majaribio. Bahati mbaya usingizi ukampitia akalala fofofo.
Baadae mume wa boss wake akaja alipokuta mtu kalala akajisemea ni mke wake amechukia kwa kuwa jana yake waligombana. . Yule bwana akavua nguo zake zote akalala pamoja na housegirl wake na kujifunika shuka moja naye usingizi ukampitia fofofo.
Baada ya muda mfupi mke akaja. Ile kuingia chumbani anakuta watu wawili wamelala. Akafunua shuka akamwona mume wake na housegirl akawauliza "kwa nini mmelala pamoja?" kila mmoja akasema ukweli wake.
Swali: Je, ingekuwa wewe ndo mke ungefanyeje? Na je ni yupi aliyesababisha matatizo?