Madada zangu hili ni kawaida? Au ni huyu niliye naye?

Kwann usongerudi hm na ukaishia hpo gest iwe hasara pesa lkn ukaokoa nafs na maisha yko kuna vt vya majarbio lkn co kuo utajuta tena unejipeleka atusha mayo wee ngoja ck uumwe na uzirai ukizinduka mke anakusomea bili ya matibabu km yy ni mhasbu wa hospital ndo utajua cfa za mke na mwanamke kwaherr
 
Kuna siku nilikua nimebanwa sina hata ile shi tano, na mwisho wa mwezi ulikua unakaribia yan mshahara ulikua unatoka kesho yake ilikua usiku nilka na uhusiano na demu 1 sa nkamuba 2000 japo nikale na pesa alikuanayo aligoma kunipa nilikasilika sana badae akagundua kua nmekasilika akatoa hela akanipa nikaikataa na hiyo ndo ilikua siku ya mwisho kua nae nilimtema na nikamwambia kosa lake ni nini

Yaani kunyimwa hela mara moja tu ndo ukamuacha kabisa loooh mnayunyima mara ngspi nyie? Kumbe na nyie mnapenda kupewa eeehh
 
Halafu vitu vingine nikujiongeza sasa ndo unaenda kujitambulisha mara ya kwanza nauli inaishia njiani duuh na kama hukuwa vizuri mfukoni alipaswa kujua tangu mnaanza safari sio huko njiani.
 
Wiki hii siku ya jumatatu mimi na huyu mwandani wangu tulipanga safari ya kwenda kujitambulisha maana kwa miaka 4 tumekuwa kwenye mahusiano.

Sasa baada ya kukata tiketi siku ya safari iliwadia. mida ya saa 0530 tuliwasili na safari ilianza saa 1200. tulipo fika nzega gari lilipata pancha. ikabidi tusubiri mpaka litengamae. tulipofika tena monduli gari likachemsha kwa sababu maji kwa radiator yalikuwa hayatoshi. safari ilikuwa ya mshike mshike mpaka nafika arusha saa nne za usiku. kwa vile nilikuwa mara ya kwanza kufika sasa kutafuta chumba cha kulala na chakula almost sh. 220000 kuanzia mwanzo wa safari.

Kilichonishangaza wakati akiba yangu inaniishia nikamwambia,"baby, hapa akiba yangu kama inaniishi". nilichoshangaa akaanza kulia, sasa kumuambia achangie gharama analia?
Nimetumia akiba yangu mimi na yeye na bado namwomba anisaiidie pale mkono wangu haufiki anaanza kulia. japo nilijikamua ili nisimkwaze, japo tulifika na kurudi salama?

Je hii vipi wana MMU ni kawaida wadada kutotoa hela kwa mmeo?
Mfupa uliomshinda fisi ww utaula,,,,? Kautupe kule,,,,,!
 
Wala usipate taby kaka....wanawake wote hela kwao kuchangia mwiko. So kaa ukijua wote wapo hivyo so wala usipate tabu tulia nae uoe tuu. Cha msingi tafuta ndalama. Ndio myaone......
 
Mkuu;
Ka ni ufala kweli umenukisha. Ati 220000 tiyari umeishiwa. Unaenda ukweni, mtoto wao umemchuna 4 yrs bureeee bila hata malipo. Halafu unatoa kwa mahesabu, "Mtarajiwa wangu, tizama nauli hiyoo, tumekula shs .... paleee, sasa nimeishiwa kwani nimeshatumia laki 2 na 20." Ptyuuu. Anastahili kulia kwani umemvunja moyo. Akaanza kujiuliza, hivi tu hatujafika home, pale ataniaibishaje?? Aliwaza unavyo jitutumua huko makaoni mwenu, na kilio chako tu ati umetumia 220 thou kwa ajili ya umpendaye. Acha hizo. Hakunaga gharama kwa yule nimpendaye.

Nadhani hesabu hujui
220000x2=440000 nauli ya kwenda na kurudi

vile vile mkono mtupu haulambwi lazima utoe na kidogo kifanyike kisherehe i.e bia, soda, chakula na vizawadi na ukitegemea nilikuwa na sh. 600000 tena hiyo hela ata mshahara wangu haufiki alafu unabwabwaja
 
Sasa kama ni kawaida kwanini ikusumbue hadi kuifungulia thread?

Heeee kweli nayapataga mabango yenu NATAKA MWANAUME MWENYE HELA sasa nimeamini. sehemu ya kuchangia unalia, sasa nikiwa kilema si ndo nakimbiwa kabisa
 
Brother huyo dada hana utu na wewe, hata ukimuoa ujue ikitokea tafrani ya kiuchumi utakoma ubishi. Tena Bwana anakupenda sana ndiyo maana kakuonyesha alivyo.
 
Usioe huyo mwanamke
Huyo chake chake chako chake so kama mapema amekuwa hvyo sasa ndan ya ndoa itakuwaje
 
Cha kumliza hapo ni nini hasa? Huyo ni mchoyo mkuu, na hata ukimuoa siku ukiishiwa hawezi kukusaidia kwa lolote. Kama uko tayari kuwa na mke wa design hiyo ni maamuzi yako
 
Hapo kimbia mkubwa, utaliwa.
mi mke wangu hata kama akiwa na hela zake au kama nilimpa nikiwa na shida nikimwambia tu ananipa zote Bila kujali kama nyingine zake mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom