eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,804
- 16,475
Ni ngumu mwanzoni kujua hayo madude utayatumia au la.... ndiyo maana wote wanafundishwa, wale wenye kuendelea nayo wataendelea wengine watayatupa chini...... kati ya wale uliokuwa unasoma nao wengine wanayatumia..Circular motion, fluid dynamics, advanced integral calculus, n.k. unasoma madude kama haya ili uyatumie kwenye nini hapa Bongo?