Jamani acheni kumlalamikia alie toa Uzi huu ni kweli mie nisha shuhudia sister mmoja ivi na bwana ake aliolewa na mwanaume hanisi mbaya zaidi bwana ake alikua analiwa jicho anahonga pesa ili aliwe baadae ndoa ilivunjika ,so acheni ubishi wa kishamba
Da ndo nimekutana na thread ya kiboya alikuwepo Dr slaa miaka ya nyuma hakuwahi kupata kula kama alizopata lowassa pili unasema 2020 hatutapata cha kusema maskini pole sana unataka kusema sizonje ametimiza ahadi zake zote eeeeh,kuna viwanda,milioni 50 kila kata,yapo mengi tu
Hahaha ni kweli hata Mimi ilinitokea mwaka Jana kwenye mahafali ya binamu yangu kuna mdada mzuri alikua na mwanae basi Mimi nilimbeba muda wote nikawanamjali sana nilipo omba mzigo rahisi kama ganda la ndizi
Mtoa hoja ni maana ccm na ni mtu ambae hana huruma na binadamu wenzake namrudisha form one what are the basic need for human being ulikua hilo ndo utajua akili yako haina akili boya wewe watanzania walitoa hela zao kwaajili ya wahanga nakumbuka kwenye uongozi wa kikwete kulitokea mafuriko dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.