Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,093
- 1,027
Wimbo umepata manju
Wewe ni mpuuzi basic needs za binada unazijua vizur
Watimize ahadi wakati za awali zimelambwa, nani mwehu anaona wenzake wametoa kwa ajili ya watu lakini zinapelekwa kwenye vitu?
Mkuu hiyo michango ni ya dharura kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tetemeko na wakati tunachanga tuliambiwa hivyo, serikali ina mfuko wa majanga kwanini isitoe huko fedha kujenga hizo miundo mbinu ya serikali achilia mbali kodi tunalipa.
Miaka kadhaa tuliona tetemeko lilitokea HAITI na michango iliyotolewa ilielekezwa kusaidia wahanga na sio kuzijengea barabara wala shule