Waziri Mkuu Atua na Kupokelewa Ruvuma

Waziri Mkuu Atua na Kupokelewa Ruvuma

Atakuwa ameshtushwa na taarifa kuwa kwenye ghala za chakula kimebaki chakula cha siku nane tu. Nadhani yuko kwenye mishe ya kukagua ghala za chakula...
MCHAPA KAZI SANA HUYU
 
Huu ni ushahidi mwingine kuwa nchi haina hifadhi ya chakula chakutosha maana Leo asubuhi PM kaenda kukagua gara la chakula la taifa na Leo hii kakimbilia Ruvuma kucheki hali ikoje. pole yao maana huu sio msimu wa mavuno kazi mnayo

Na mwakani mlinge tena kununua mahindi kama mlivyofanya mwakajana Ueni tu WATANZANIA kwa njaa mungu anawaona.
ukweli ni kwamba tulipitia ukame mwaka jana
 
ukweli ni kwamba tulipitia ukame mwaka jana

Mwakajana walilinga kunua mahindi Mimi nilipeleka kamzigo kangu nikaambiwa wananunua mwisho GUNIA KUMI tu niliumia sana ila sasa naona wanavuna walichopanda mwaka Jana.
 
Hyo ndo kazi ya serikali awamu hii! UTUNBUAJI tu ili kuleta hofu na woga na sio kuleta ufanisi wa kazi!

Awamu hii ni matukio tu hakna cha maana!
Lini na nani ameleta cha maana? Tuache awamu ya tano ifanye kazi. Watu waibe faru halafu waachiwe tu
 
Mwakajana walilinga kunua mahindi Mimi nilipeleka kamzigo kangu nikaambiwa wananunua mwisho GUNIA KUMI tu niliumia sana ila sasa naona wanavuna walichopanda mwaka Jana.
Ni kweli usemayo
 
Ghala la taifa liko kila kanda.
Ila kwa ruvuma viongozi wake ndo wanaongoza kwa kutumbuliwa kwenye hiyo ghala
Oookee.,dah,lakini maghala kweli tunayo .......
downloadfile-36.jpeg


Ghala la taifa liko kila kanda.
Ila kwa ruvuma viongozi wake ndo wanaongoza kwa kutumbuliwa kwenye hiyo ghala
 
Huyu mke wa Dr mahenge, ni mrusi, kwa wale wasiomjua huyu amekaa urusi miaka mingi sana, alirudi na huyu mama.
 
Back
Top Bottom