Recent content by gwargwe

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume wa namna hii jamani Kama upo njoo

    Tupo na wenyewe wanajua
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kinachowatofautisha wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni UNIFORM tu

    Sometimes ni muhimu kunyamaza maana waweza kujivua nguo hadharani
  3. G

    JamiiForums Tanzania TBC inapatikana Azam TV?

    KBC haitarusha?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako amchana live TB joshua

    Mambo ya imani ni magumu sana ila tumwombe mwenyezi mungu atusaidie maana hata mchungaji kufanya mipasho ni hatari kwa kazi ya mungu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nachingwea, mnalia nini

    Tujiulize kura zote za CCM zimetokea huko?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Mungu atusaidie maana Tanzania tuna safari ndefu kuyafikia maendeleo ya kweli
  7. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Yule mtoto aliyewekwa kwenye BOX MIAKA MINNE afariki dunia! ...so sad

    R.I.P Nasra mungu akupe pumziko la milele.Amen
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Irene Mpenzi, Kosa si langu ni la Voda

    Pole kijana akikua ataacha
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nini wajibu wa chama cha walimu tanzania

    Tushirikiane kuanzisha alternative ya hili genge
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwalimu,je Unataka kuongeza kipato chako? "SOMA HAPA"

    Njoo mtwara mimi nije Lushoto maana huku pia fursa ziko njenje kwa sababu ya Gas
  11. G

    JamiiForums Tanzania Makada nguli wa CCM wahamia CHADEMA

    Goon news.huku Mbulu pia kuna maeneo yanahitaji ukombozi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

    vijana tujitizame tunavyotumika kisiasa na maslahi ya tunayoyafanya kwa ajili ya Taifa letu.Tunajiita tumesoma lakini vipimo vya tunayoyatenda hayaendani na kisomo chetu tunachojisifia jamvini kila leo.Hawa vijana wanahitaji ukombozi wa kifikra kwanza maana hawajitambui wanapigania nini.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa vijana wa CHADEMA waliohamia CCM?

    vijana waliohamia CCM Kukoka CDM Kuhangaika kuwachafua viongozi wa CDM wana nia ya Dhati kupigania maslahi ya watanzania kwa ujumla wao au ni mwendo wa kutumika kisiasa?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    Ukombozi unatakiwa uanzie kwako maana vijana mnaendekeza njaa.Ni muda wa kujitafakari mwenyewe unatumikaje na yule mwenzio mliofukuzwa CDM
  15. G

    JamiiForums Tanzania CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Nadhani kwa wanasiasa tunataka utendaji zaidi.Kuna maprofesa kibao wa ......kazi ni kugonga meza na kusinzia Bungeni.Wanatusaidiaje hao na Elimu zao?
Back
Top Bottom