Nachingwea, mnalia nini

Nachingwea, mnalia nini

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,361
Reaction score
6,441
mama mmoja analalamika eti serikali haiwasaidii , mpaka sasa wanawake watatu wamebakwa na kufa. Si mliichagua wenyewe, tena huko Lindi CCM ndio mpango mzima. Acha kulalama kula matunda ya kura zenu!
 
wanavuna walichopanda na hiyo ndio serikali yao sikivu na walichagua wenyewe
 
Tena wasitupigie kelele kabisa > Wabakwe tu tena nasema watawabaka tu maana wameelimishwa haki za kiraia hadi tumechoka sasa...(Pinda, 2013)
 
mama mmoja analalamika eti serikali haiwasaidii , mpaka sasa wanawake watatu wamebakwa na kufa. Si mliichagua wenyewe, tena huko Lindi CCM ndio mpango mzima. Acha kulalama kula matunda ya kura zenu!

Tufike wakati tuwe welevu sawa walifanya makosa kuichagua ccm je wangechagua chama gani ili kusiwe na tatizo la ubakaji. Hilo ni suala la utu wa mtu....poleni kwa matatizo mliyonayo na serikali itawasaidia tu
 
Wakati chadema wako kaskazini ukitegemeA nachungwea wamchague nani?
 
Wewe huku kuna CUF kijana.

Sawa kuna CUF lakini waliichagua Ccm.Namimi nasema tena Wabakwe tu tena tumechoka wavumilie ili wajifunze,Elimu ya Uraia wamepelekewa miaka yote lakini hawaelewi eti kisa Mama wa kambo Riz anawapa Pilau hawawezi kuitosa ssm
 
Wangeichagua cuf ndi wasingebakwa! Hizi siasa watu wanaziparamia tu, how itikadi ya chama itamzuia mtu ku satisfy his sexual drives, phew!
 
Kuna mijitu mtu hata akishindwa kumpa mimba mkewe itasema ccm ndio sababu, kefule!
 
mama mmoja analalamika eti serikali haiwasaidii , mpaka sasa wanawake watatu wamebakwa na kufa. Si mliichagua wenyewe, tena huko Lindi CCM ndio mpango mzima. Acha kulalama kula matunda ya kura zenu!

hiyo mikoa ya kusini inahitaji tiba maalum, wakipewa zile fulana zinazotanuka shingo baada ya kunyeshewa na mvua , wanasahau shida zote !
 
Back
Top Bottom