TBC inapatikana Azam TV?

TBC inapatikana Azam TV?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,842
Wakuu naomba kujua kama TBC inapatikata kwenye king'amuzi cha Azam maana nipo mji niliohamishiwa kikazi na king'amuzi cha dstv sijahama nacho.. sasa nauliza ili nikitoka job nipitie cha azam ili nisikose hii world cup..kwa anaefaham plz
 
TBC1 ipo mkuu...lakini good news nyingine kwasisi tunaotumia AZAM TV tutaona mechi zote kupitia ZBC maana TBC1 watarusha mechi chache........labda TBC2 ndio watarusha zote..

Cheki hii kutoka FB yao...

Na kwa taarifa zilizotufikia,Kwa faida ya wadau wote wa Soka,
Kituo cha Televisheni Cha Zanzibar ZBC wataonesha mechi zote za World Cup!!!
Kwa kuwa na AzamTV yenye hii chanel ya ZBC utaweza kuziona pia bila kusahau chanel ya kitaifa TBC itakayoonesha mechi za World Cup japo si zote...

Hakijaharibika kitu, AzamTV Burudani kwa Wote.
 
Safi sana mkuu na asante kwa taarifa nina kama 30 mins natoka job hope ntawahi wakainstall nisikose uzinduzi wa leo...
 
Azam ni nzuri kasoro moja tu ni kutokuwepo Stsar TV na TV live za mipira ya Europa
 
Dogo inapatikana, fanya uchukue uinjoi world cup.

Dogo si unajua huku ugenini bado makorokoro yamebaki kule? Sasa nakuangalizia bar ndo vile tena mtu ukitoka job umechoka bora nifanye hivyo
 
Duh... leo ving'amuzi vya Azam vimeisha mbeya... nimeishiwa pozi... itabidi niende bar
 
Mkuu isije kuwa ndio gia za makandokando hizo!!!
Mkuu halafu si unajua zinavyochezwa mida ya majeruhi...kuna watu najua hata wataharibu TV ili tu wasiangalizie home...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom