Maafisa wa Marekani wanaamini kwamba Korea kaskazini ilitekeleza jaribio jingine la mashine ya kurushia makombora yake .
Jaribio hilo linadaiwa kutekelezwa siku ya Jumatano litakuwa jaribio la kwanza la mashine kama hiyo kutekelezwa na Korea Kaskazini tangu mwezi Machi.
Mashine hizo zinaweza...
Kwani Mungu alikwambia kuwa yeye ni binadamu anahitaji kusinzia? Usimweke Mungu katika viwango vya kibinadamu eti anapigiwa kelele hivyo anahitaji kusinzia.
Mfumo Mpya wa Kutumia Namba za Simbu Kuanzishwa Mwezi Ujao,Utaruhusu Kuhama Mtandao Mmjoa Kwenda Mwingine Bila Kununua Laini Mpya.
Mfumo mpya wa matumizi ya namba za simu (Number Portability) unatarajiwa kuanzishwa ifikapo Machi Mosi kwa ushirikiano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na...
Jeshi la Polisi mkoani tanga limefanikiwa kukamata bunduki tatu aina ya shotgun Bastola moja,risasi 51 pamoja na mavazi ya jeshi la wananchi ambazo zimetumika katika vitendo vya uhalifu kwa kupora fedha na mali mbalimbali kisha kuua mmoja kati ya wafanyabiashara wilayani Kilindi.
Kamanda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.