Recent content by gulumadi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mfano wa unyama utokeao kama utekelezaji wa lililokuwa agizo la Mh. Pinda (Graphic)

    mkuu umenena, vibaka/wezi wanatesa sana TZ majuzi vibaka walikomba karibu kila kitu ktk gari yangu... Katika kufuatilia watu wakaniambia niwahi 'GEREZANI' kabla havijauzwa!....Nilikwenda na kuvikuta vifaa vyote na kuvinunua tena! cha ajabu polisi wafahamu....
  2. G

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Tu -import- kutoka nje ya africa..'kubinafsisha uongozi wa juu'.. safu ya uongozi iwe; prezidee-USA w-mkuu-UK w-kilimo-china w-pesa-Uk w-miundombinu-china elimu-German mambo ya ndani- Slaa nishati- Prof. mark hapo wakuu with in 5yrs...TZ itakuwa na mwelekeo... ni afadhali kutawaliwa...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  4. G

    JamiiForums Tanzania Miradi ya barabara kibao imekamilika bongo!!!!

    very true..., ukiwapa vitenge na masweta 't-shirt'... = ushindi wa kishindo as they call!......bado safari ni ndefu.
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Washikaji yamenikuta...

    Ni muongo!!... na hakupendi.... mkuu tafuta mwingine kama unataka wa maisha!.. but kama ni wa 'kuzugia' ni poa tu.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko CHADEMA Makao Makuu

    ni kweli hafai... ni bonge la mkenge!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Importing a car to Tanzania

    ;;; 1999 uchakavu 2000 no uchakavu
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    manda nakuunga kiganja na vidole!! time hii morinho hatoki salama THTR... of dream....
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Temba Avuta Jiko

    hongera!!!, but jamaa kanuna askama amelazimishwa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika ndivyo tulivyo?

    china wabongo kibao wanachiti kuwa WA-YU-ES-I, ili kupiga dili za kufundisha lugha!!!
Back
Top Bottom