Recent content by Gulio Katerero

  1. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Kwa hili la kubana matumizi umeshashindwa!

    Mwambie bana maana hakuna namna
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar-es Salaam tu,tena Ubungo Bus terminal tu?

    RC na Ma DC wa Dar es salaam hili hamjaliona? Kama alitumbuliwa kabwe darajani mmeshindwa nini kuondoa hizi tozo zisizo na tija kwa mwananchi?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Walimu tunanyanyaswa sana

    Hadi hapa sijaona kosa lolote mkuu upo sahihi 100% big up, WAKIMWAGA MBOGA TUNAKULA UGALI! HATUTAKI UJINGA SISI
  4. G

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Na mwalimu sio punching bag pia
  5. G

    JamiiForums Tanzania Cheki majina ya ajabu-ajabu kwenye phonebook

    Asha Kiduku Salome Mapangaboi
  6. G

    JamiiForums Tanzania Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Hapana si uzi na kamba
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

    Mkuu wa kaya mwenyewe alishasema ambao hawataki kusoma wacharazwe viboko na wakifeli wakafungwe sababu elimu inatolewa bure wao hawataki kusoma. Kwanza huyu hakupewa dozi inayostahili, wangemtegua kiuno ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia za ununda. Na hyo alierekodi hyo video ajiandae...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

    we jamaa hatari sana
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

    Na wapigwe tu maana hakuna namna
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la walimu ni kubwa kuliko matukio mengine nchini?

    Mi nadhan mizuka kama alivowahi kusema sugu ndio inayoendelea hapa. Tatizo la viongozi wetu wanafanya maamuzi bila kufuata principles za natural justice. Siwatetei walimu kwa walichokifanya ila cha msingi wanaotoa maamuzi wanapaswa kusikiliza pande zote. Huenda kuna mengi yaliyojificha nyuma ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Baba yangu alivyowahi kupigwa jiwe na mwanafunzi mwenye kiburi

    Mbona wajeda wanahenyesha madenti kwenye skuli zao hampigi kelele na wala hatuoni matamko kwa mawaziri na mapolisi na wakuu wa mikoa? Nijibuni basi au mnaniogopa?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Satelite zina kaaje huko juu bila kujazwa mafuta?

    Nadhani hadi hapa wanajamvi washajua mlevi ni nani. Spendagi ujinga mie
  13. G

    JamiiForums Tanzania Satelite zina kaaje huko juu bila kujazwa mafuta?

    Tanzania tunayo moja inaitwa Kigamboni satellite city ipo maeneo ya fun city karibu na dar es salaam zoo
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa IFM

    Anaenda kusomea udereva wa mwendokasi
Back
Top Bottom