jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Nyani Ngabu huyu ni mchochezi, hana sifa ingine.Huyo aliyerekodi hiyo video ameitendea jamii huduma ya muhimu sana.
Anastahili pongezi, si adhabu.

Inauzwa duka gani hii kitu?busara ingetumika wala pasingekuwa na shida,busara ni muhimu na ni sehemu ya maisha ya binadamu
Kama hujui kaitendea nini jamii ipi basi hustahili hata kuelezwa zaidi.
Baki na ujinga wako.
Naona kama were ndio umekurupuka, yaani hili tukio ndio limeweza kutubainishia wagumba humu ndani, some people hawana feeling kabisa, yaani ni wabaridi mno mmoja wapo ukiwa wewe.Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.
Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.
Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...
Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).
Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Hapana si uzi na kambaMods huu nao ni uzi?
Eti alipoona mwanafunzi anaumizwa alitakiwa 'kuplay part'....kumbe kurekodi video siyo 'kuplay part'???Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.
Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.
Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...
Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).
Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Mi nafikiri wewe ndio mjinga, hata solution ya hii ishu umependekeza street justice, umeiga tabia za kijinga za maniga...
SanaHuyo aliyerekodi hiyo video ameitendea jamii huduma ya muhimu sana.
Anastahili pongezi, si adhabu.
Mwambie huyoWewe itakua mmoja kati ya wale. Vipi angekua mwanao ungekuja mlalamikia alierekodi video?
Hilo nalo nenoAliyepiga picha ya kuuawa kwa Mwangosi afungwe? Maana hakusaidia? Cha muhimu ashikwe awe shahidi NAMBA moja, aeleze Mubashara nini kilitokea. Mimi ni Mwalimu pia lakini walichokifanya WALIMU wenzangu hao ni Ugaidi, wachukuliwe hatua stahiki.