Kwanini Dar-es Salaam tu,tena Ubungo Bus terminal tu?

Kwanini Dar-es Salaam tu,tena Ubungo Bus terminal tu?

Nasikia mwenye mrad ni muha wa kigoma, na amewachimba mkwara et wakimtumbua pale ataigeuza dar iwe bush kama ujij ndo maan mheshimiwa anapaogopa
Mtukufu haogopi wala kujaribiwa huyo asubiri muda wake atatumbuliwa tu
 
Hiyo niliyoitaja sio sababu pekee katika kuamua kuweka kiingilio pale,inaweza kuwa ni sehemu ya chanzo cha mapato kwa jiji ili kugharamia mambo mbalimnali ikiwemo usafi na ulinzi au ni utaratibu wa sehemu kama zile kwani nakumbuka miaka ya nyuma hata kwenye stesheni ya reli Dsm tulikuwa tunakata tiketi za kusindikiza wageni na kama huna utaishia kumpungia mikono kwa mbali,lakini ukikata hiyo tiketi unaingia mpaka kwenye behewa mnapiga stori hadi muda treni kuondoka.
Mkuu siku hizi ni 300/=
 
Wanajaribu kupunguza wasio na kazi na vibaka wasifanye pale ndio sehemu ya kwenda kufanya mipango yao ya uovu,japo hawajaweza kutimiza azma yao hiyo kwani vibaka ni wengi na wauza bangi na wasio na sehemu za kulala ni wengi sana mle ndani.
Hili ndio lilikuwa lengo lao kubwa,inabidi wafanye kuwa hata ukiwa humo ndani kla baada ya saa 2,ulipie tena
 
RC na Ma DC wa Dar es salaam hili hamjaliona? Kama alitumbuliwa kabwe darajani mmeshindwa nini kuondoa hizi tozo zisizo na tija kwa mwananchi?
 
ule ni wizi tu hakuna sababu ya msingi ya kulipisha abiria pale jua lao mvua yao...ingekua kama park station si mngesema hata waenda kwa miguu hawaruhusiwi..
 
Asante kwa kutuwekea water dispenser tunapata maji safi na baridi mule ndani
 
Mbaya zaidi abiria wanaoshuka kwenye mabasi ya mwendokasi na kutaka kuelekea maeneo mengine nje ya stand kwa upande huo kama TBS, Petrol station, Masters students' hostel ya Udsm wanalazimika kuingia stand na kulipa shs 300 (200 zamani) then watoke na kuendelea na safari waendako, otherwise watalazimika kwenda upande wa pili (Chibuku) then wavuke barabara kurudi upande wa stand kama hawana hiyo ada. Personally sielewi kwanini wametengeneza huo usumbufu kwa raia, nauona ni wizi wa mchana kweupe, kwanini ile wooven fence yao isiziazhe ngazi nje ili raia wasio na shida na stand wapite upande ule bure
 
Hata ukikata tiketi ya basis ambalo halina ofisi mule ndani basi pamoja na kuwa na tiketi lazima ulipe kiingilio pale mlangoni.
Abiria wote wa Yale mabasi (mengi ya Dodoma) ambayo ofisi zao zipo pale sheli ya ubungo, hulipishwa kiingilio wakiwa wanasafiri.
 
Ule nao ni wizi tuu tofauti na panya road wanatumia siraha hao wezi wa ubungo sheria inawakinga ni wezi tuu utawezaje kulipia sehemu unayoenda kusafiri..
 
Nimekuwa nikijiuliza sana swali hili kuhusu dar-ubungo bus terminal,ni kwanini watu wanalipishwa pesa kuingia ndani ya stendi pindi wawasindikizapo ndugu ama jamaa zao na wakati mwingine hata wao wenyewe ikiwa hawakukata tiketi?
Mbona mtu anaweza msindikiza nduguye airport na asichajiwe pesa,au airport na ubungo, au ubungo ndio yenye thamani zaidi?
Mbona stendi zingine za mikoani hawatulipishi pesa kama hizo? Arusha,Mbeya,Mwanza na Tanga hakuna gharama kama hizo kwanini dar tu? Ni nani hasa mnufaikaji wa mradi huu ambao gharama zake hupanda kila siku? Kuvuka kigamboni ni sh.200 lakini kuingia ubungo tu ndani mule ambapo hakuna gharama yeyote ambayo halmashauri inaingia kwa wewe kumpeleka ndugu yako pale unalipia sh.300 kwa sasa,Serikali nayo imekuwa kinara wa kutuibia raia wake? Magufuli hulioni hili nalo kuwa kero kwa raia? Mradi huu hauna tija bali ni wizi ambao tumekuwa tukiibiwa kwa muda mrefu sana.
Tanzania ni nchi yetu sote jamani msitushike kila mahali.Kwanini ubungo,na pesa za hapo zinapelekwa wapi?
Ubungo mnatuibia sana aisee,maana katika stendi nyingi huwa vyombo vya usafiri ulipishwa na raia kutumia bure miundo mbinu iliyopo hapo,Kulikoni Ubungo bus terminal?
Kwa daraja la kigamboni mlisema kuwa sehemu nyingi duniani hilo ufanyika,naomba kujua kama kuna sehemu duniani wanalipisha raia wake kwa kuingia na kutoka katika stendi ya mabasi.
Kwa wenye majibu na maswali mengine zaidi huenda tukapata ukweli wa gharama hizi naomba tufahamishane wakuu.
Asante.
Tena stendi yenyewe Vumbi. Mmiliki was hiyo Business so Mpinzani kwa kuwa ni Unreachable! Tangu enzi tumelalamika wee wapi Business as usual na bei ikapanda. Pale Msamvu Moro mbona hawalipishi na ni pazuri zaidi ya UBT!
 
mkuu ule ni wizi kabisa..
msamvu hulipishwi wala nini lakini huwezi linganisha ubungo na msamvu
miundombinu mibovu,hata sehem za kujisaidia ni matatizo
 
Tena stendi yenyewe Vumbi. Mmiliki was hiyo Business so Mpinzani kwa kuwa ni Unreachable! Tangu enzi tumelalamika wee wapi Business as usual na bei ikapanda. Pale Msamvu Moro mbona hawalipishi na ni pazuri zaidi ya UBT!
mkuu kama ulikuepo kichwani kwangu...!!
nahisi mwenye mradi wa UDART ana mikono yake pale..daraja la gari za mwendokasi linashushia watu ubungo ndani ili apige mara mbili
 
Yaani Mimi nashangaa unalipia sehemu ambayo hakuna sehemu ya kupumzikia mvua ikinyesha nikizaazaa,vyoo vya republic hakuna, yaaani full wizi na watu wanashangilia eti jpm nimtumbua majipu. Yaani 300 inanikera saaana ya ubungo terminal
 
Yaani Mimi nashangaa unalipia sehemu ambayo hakuna sehemu ya kupumzikia mvua ikinyesha nikizaazaa,vyoo vya republic hakuna, yaaani full wizi na watu wanashangilia eti jpm nimtumbua majipu. Yaani 300 inanikera saaana ya ubungo terminal
Nipo ubungo now nimelipa 300, na ile mvua iliyonyesha juzi baadhi ya madimbwi bado yana maji na maji mengine yamejaa kwenye sehemu ya ujenzi unaoendelea vituo vipya usawa wa MICHOTEL
 
Back
Top Bottom