Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Ndiyo maana nilidaiwa TOEFLS na vingine sijui ISLETS nikafanye pale British Embassy kipindi flan ni kwa sababu hii, Ee Mungu uturehemu
Hahahaha ISLETS kabisa mkuu!?? hahaha...
TOEFL ni ya Mmarekani zaidi lakini.
British Council wana IELTS...
