• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by Greater thinker

 1. Greater thinker

  Ngoma za Marekani zilizofanana mashairi na ngoma za Bongo zilizotangulia

  Kuna msemo mmoja wa kizungu usemao, Great minds think alike, ukiwa na maana ya ‘Akili kubwa hufikiri sawa sawa.’ Hii hutokea mara nyingi sana katika sanaa bila ya wasanii husika kulitambua hilo. Unaweza ukakuta wasanii wako sehemu mbili tofauti kwa nyakati tofauti lakini wakatunga mashairi...
 2. Greater thinker

 3. Greater thinker

  Barbra Hassan unaiharibu Power Breakfast

  Bro mimi ni mdau wa PB Kwa muda mrefu sana tangu haijaanza kuitwa PB enzi za SEVEN na JIMMY KABWE ,Wakaja wakina KP NA FINA na Hando akiwa msoma magazeti wao Mpaka wakaja wakina PJ & HANDO. So naielewa vizuri sana PB na huyu Babra wa siku hizi si yule Babra wa zamani ambaye hakuwa mkali hivi na...
 4. Greater thinker

  Barbra Hassan unaiharibu Power Breakfast

  Kwa hyo BH siku hizi sio Mkali ?Hafoki Hafoki ? Sio busara bwana kumuita ' MLETA MAGAZETI ' hata kama jamaa hajapata mkataba bado so long as ashapata shavu la kuwa kwenye kipindi hilo jina waliminye tu.Na mimi wala sijazungumzia yeye kugombana na Kp ni jinsi tu anavyoendesha mfumo mzima wa...
 5. Greater thinker

  Barbra Hassan unaiharibu Power Breakfast

  Davidngonde soma hii kakaa
 6. Greater thinker

  Machizi mmeniroga remix ya Stamina kawachana hadi WCB

  Video ashafanya na Travellah wa ' KWETU STUDIO ' soon itakuwa hewani.Thanks
 7. Greater thinker

  Barbra Hassan unaiharibu Power Breakfast

  Hivi Babra Hassan ana mimba ? Mbona siku hizi amekuwa mkali sana? Kitu kidogo tu akitaniwa anafura redioni na kutoa maneno makali, Anashindwa kwenda sawa na Masoud Kipanya na kufanya kipindi kuonekana kuwa haina Combination nzuri ... Kwa kipindi kama cha wiki nzima ambapo Babra hakuwepo kwenye...
 8. Greater thinker

  Utengenezaji wa sabuni na bidhaa zingine za viwandani

  Mkuu naomba namba yako ya simu tafadhali
 9. Greater thinker

  Msaada: Dawa ya ulimi baada ya 'kudeki bahari'

  ASANTE MKUU KWA USHAURI yoo
 10. Greater thinker

  Msaada: Dawa ya ulimi baada ya 'kudeki bahari'

  Mapenzi tu mkuu ... siunajua kumridhisha tena mamaa
 11. Greater thinker

  Msaada: Dawa ya ulimi baada ya 'kudeki bahari'

  Naombeni mnielekeze dawa. Ulimi wangu umechubuka na umetoka vipele kwa ndani karibu na koo.. Hii imetokana na kuwa nina tabia ya kumpiga deki mpenzi wangu, ni kama miezi 6 mfululizo sasa. Naombeni mnisaidie kunipa dawa, kwenda hospitali naona aibu!
 12. Greater thinker

  Msaada kwa shule ya bweni yenye a level mchepuo wa cba

  Kibaha,kibiti
 13. Greater thinker

  Msaada : Je ni lazima mshindi wa kiti cha uraisi afikie 50% ya kura kwa Tanzania???

  Naombeni msaada juu ya swali hilooo...je kwa tanzania ni lazima mdhndi wa kiti cha uraisi afikie kura za 50% ya kura zote au hata kama akiwa na 40% na kuwazidi wagombea wote???
 14. Greater thinker

  wahitimu wa form six na kujiunga na jkt

  nko mbal kdgo na vyombo vya habar,kutokan na shughul kdogo tu za kimaisha..ninaomba kujuzwa juu ya hl swala na shule zipi haswa ndio zitaanza? Kwa kuwa ninaskia kwa juu juu tu naombwa kujuzwa kwa mwenye detailz za kutosha
 15. Greater thinker

  Sorry my sweetheart

  Do t!yoo
Top