Recent content by Gondwe

  1. Gondwe

    Kupoa kwa ndoa kuna sababishwa na nini??

    Tukumbuke ndoa ni kama biashara tu, inahitaji muda, rasilimali na uongozaji ili ipige hatua. Wanandoa wengi baada ya kuingia kwenye ndoa hujisahau na kuoana kwa kuwa tumeshaoana basi yote yamekwisha. Hawajui kwamba ndoa yenyewe ni namna gani wataishi maisha ya kila siku kwa lengo la kuiboresha...
  2. Gondwe

    Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

    Tuko tofauti sana trust me, hatukatai wapo wanaofanya kwa upumbavu ila wapo wengi pia ambao ukisema utajitutumua kumridhisha utaishia kukimbia mwenyewe au kuhisi anakukomoa, ndo maana option ya kuongeza mke haikwepeki lakini kwa wenye uwezo tu (uwezo hapo ni kuwahudumia vyema financially na...
  3. Gondwe

    Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

    Hujanielewa vyema mpendwa, kutumia mapaja ya mkeo inategemea na mwanaume dada angu, kuna marijali kweli kweli ambaye hata umfanyie mbwembwe kiasi gani na hayo mapaja wala hafiki, hivi unafahamu kwamba kuna wanaume hawafiki kileleni wanapotumia condom? Watu wako tofauti mwingine ili amalize ashki...
  4. Gondwe

    Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

    Njia ni moja tu dada angu hizo nyingine amini usiamini zina madhara kiafya, Mungu hakukosea kuumba hiyo njia kama usahihi wa kuondoa matamanio Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Gondwe

    Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

    Mosi, Mimi kama mwanaume napingana kwa 100% na nyumba ndogo kwani huo ni uzinifu na uzinifu wowote hauna matokeo mema hata kwa huyo mzinifu mwenyewe achilia mbali ndoa ya huyo mzinifu. Pili, huenda Mshana jr hakuwa na nia mbaya kabisa na alikuwa na point kubwa sema uwasilishaji wake ndo haukuwa...
  6. Gondwe

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Hiyo mpaka uitazame kwa jicho la pili ndo utaelewa, jicho la ufasiri wa fasihi simulizi, ila kwa macho ya kulia chakula huwezi elewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Gondwe

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Heshima kwake, hakutaka kuropoka hovyo hovyo kwani kuna wenye akili na wasio na akili, alitaka ujumbe uwafikie wenye akili ndo maana akatumia fasihi kuwasilisha alichokuwa nacho Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Gondwe

    UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Tumia common sense mdogo wangu, lile tamko lilitolewa na jeshi na mkuu wa mkoa amelizuia ili kwanza wampe sababu za agizo hilo, naimani katika hizo sababu polisi watajibu na hizo hoja pia zilizotolewa, wewe ulikurupuka tu kukataa lakini mwenzako ameomba reasons, na naimani Makonda alikuwa aware...
  9. Gondwe

    Njiwa mweupe: mjumbe wa amani

    Mwanangu alikuwa na shida ya ngozi kubabuka, nilihangaika na dawa ndo kuna doctor akanishauri ninunue hiyo, alipaka few times na tatizo limeisha up to now, pia inafanya miguu kuwa soft. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Gondwe

    Wasanii mbalimbali wapata shavu kumsupport Magufuli akizindua mradi wa bomba la mafuta Tanga

    Una akili fupi kama koroboi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Gondwe

    Wasanii mbalimbali wapata shavu kumsupport Magufuli akizindua mradi wa bomba la mafuta Tanga

    Oh sure, karibu tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Gondwe

    Njiwa mweupe: mjumbe wa amani

    Nimeupenda uchambuzi wako mkuu, heshima kwako. Huo mzaituni umetajwa pia kwenye kitabu cha waislamu Mwenyezi Mungu akiapia kwa huo mti. Hata leo hii unatumika kwa tiba mbali mbali hata specialist wanaurecommend kwenye hizo tiba. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Gondwe

    Wasanii mbalimbali wapata shavu kumsupport Magufuli akizindua mradi wa bomba la mafuta Tanga

    Mkuu punguza jazba, huu mchezo hauhitaji hasira Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Gondwe

    Wasanii mbalimbali wapata shavu kumsupport Magufuli akizindua mradi wa bomba la mafuta Tanga

    Pole sana mkuu ila nakushauri upambane tu na hali yako mapema, maana kikatiba bado yupo sana hadi 2020, pia nasikia tetesi eti watz wanataka aendelee tu siku zote. Jiandae kisaikolojia mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Gondwe

    Naipenda sana Yanga!

    Nyie pigeni kelele ila mjiandae kisaikolojia mapema maana zisipojirudia tano au zaidi sijui, kama nawaona na kandambili zenu mkienda kupiga mbizi kwenye swimming pool ya kaunda, mnyama unyamani lazima mpakatwe. This is Simbaaa (in Manara's voice) Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom