Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

......
......Kunajamaa nilimtandika pamoja na moto wake

Acha uongo, labda uliota umekuwa Chuck Norris. Kwanza ulimtandika jamaa na bunduki wapi, Afghanistan au kwenye Bongo Movie?
 
Ukiangalia vizuri mwanzoni mwa video ya Roma 'Zimbabwe' utaona mtoto amekaa chini anaangalia TV , na kwenye TV kinachooneshwa ni wasanii wa bongofleva na mke wa Roma wakijaribu kupaza sauti kushinikiza Roma aachiwe na hao watekaji wake, huyo mtoto mgongoni pake utaona ameandikwa jina la Diamond Platnumz. Kwa uelewa wangu hapa jamaa kampiga dongo Diamond akimaanisha kwamba wakati wasanii wengine wakimpigania atoke huku Diamond 'akiwakilisha wasanii wanafiki' anakuja na nyimbo za kinafiki kama 'nikae kimya'...Jamaa katumia fasihi ya hali ya juu kuanzia audio hadi video. In short jina 'Diamond Platnumz' halijatokea kwenye video kimakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20170812-083359.png
Screenshot_20170812-083426.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Previously, nilikua namshangaa director kufanya jambo kama hili kumbe ni dongo Kwa mzee Wa kukaa kimyaaa?
 
unachoamini sio sahihi kwasababu director wa hiyo video amesema hao wahusika wote kwenye video ni wanakijiji waliowakuta hapo location,
ikimaanisha kwamba huyo dogo aliyevaa t,shirt yenye jina la Diamond amevaa t.shirt hiyo in good faith na director kafanya yake in good faith.
 
Roma mjanja sana, nayeye kaamua kuliteka soko la kufoka foka kupitia kwa mkewe mpenzi!!!
 
unachoamini sio sahihi kwasababu director wa hiyo video amesema hao wahusika wote kwenye video ni wanakijiji waliowakuta hapo location,
ikimaanisha kwamba huyo dogo aliyevaa t,shirt yenye jina la Diamond amevaa t.shirt hiyo in good faith na director kafanya yake in good faith.
Hawezi kuwa wazi ni lazima ujiongze
Nii ni fasihi ndugu
 
unachoamini sio sahihi kwasababu director wa hiyo video amesema hao wahusika wote kwenye video ni wanakijiji waliowakuta hapo location,
ikimaanisha kwamba huyo dogo aliyevaa t,shirt yenye jina la Diamond amevaa t.shirt hiyo in good faith na director kafanya yake in good faith.
[emoji23] Akili za kuambiwa na director changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwake, hakutaka kuropoka hovyo hovyo kwani kuna wenye akili na wasio na akili, alitaka ujumbe uwafikie wenye akili ndo maana akatumia fasihi kuwasilisha alichokuwa nacho

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukisema "sitaki sema" ushasema.

Asingetaka kusema asingetunga wimbo.

Na huyo Roma kamnanga Diamond hapo hakuna cha good faith.

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom