Hiyo mpaka uitazame kwa jicho la pili ndo utaelewa, jicho la ufasiri wa fasihi simulizi, ila kwa macho ya kulia chakula huwezi elewa.unachoamini sio sahihi kwasababu director wa hiyo video amesema hao wahusika wote kwenye video ni wanakijiji waliowakuta hapo location,
ikimaanisha kwamba huyo dogo aliyevaa t,shirt yenye jina la Diamond amevaa t.shirt hiyo in good faith na director kafanya yake in good faith.
Hujapinga hoja.. Dogo kukutwa kijijini sio hoja,.. Hoja ni kuvaa hiyo t-shirt labda ungeanzia hapo... Wanaweza kumletea hiyo t-shirt aivae ili kufikisha ujumbe japokua kakutwa kijijini.. Na huyo director ulitaka akuambie nini wakati wimbo ni dongo la mafumbo!unachoamini sio sahihi kwasababu director wa hiyo video amesema hao wahusika wote kwenye video ni wanakijiji waliowakuta hapo location,
ikimaanisha kwamba huyo dogo aliyevaa t,shirt yenye jina la Diamond amevaa t.shirt hiyo in good faith na director kafanya yake in good faith.
Hiyo mpaka uitazame kwa jicho la pili ndo utaelewa, jicho la ufasiri wa fasihi simulizi, ila kwa macho ya kulia chakula huwezi elewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nimekuelewa, mtu analeta mbwembwe mwishowe anapigwa risasi ya kichwa shughuli kwishaBunduki ni kila kitu vingine ni nyongeza tu
Hujapinga hoja.. Dogo kukutwa kijijini sio hoja,.. Hoja ni kuvaa hiyo t-shirt labda ungeanzia hapo... Wanaweza kumletea hiyo t-shirt aivae ili kufikisha ujumbe japokua kakutwa kijijini.. Na huyo director ulitaka akuambie nini wakati wimbo ni dongo la mafumbo!
Hawezi kuwa wazi ni lazima ujiongze
Nii ni fasihi ndugu
wewe mzee kumbe kichwani ndio mtupu hivyo?unachoamini sio sahihi kwasababu director wa hiyo video amesema hao wahusika wote kwenye video ni wanakijiji waliowakuta hapo location,
ikimaanisha kwamba huyo dogo aliyevaa t,shirt yenye jina la Diamond amevaa t.shirt hiyo in good faith na director kafanya yake in good faith.
I beg to differ. In art and literature (Music included) there is never an accident/coincidence. Anything and everything depicts or portrays a message either for clarity ama muendelezo/muunganiko wa story. Haikuwa kimakosa Kuonyeshwa jina hilo kwenye fulana, kutajwa kwa majina yaliyotajwa ama hata maudhui yote ya video na mashairi.unachoamini sio sahihi kwasababu director wa hiyo video amesema hao wahusika wote kwenye video ni wanakijiji waliowakuta hapo location,
ikimaanisha kwamba huyo dogo aliyevaa t,shirt yenye jina la Diamond amevaa t.shirt hiyo in good faith na director kafanya yake in good faith.
Mkuu hata wewe ni hadhira na director hakuwa anamaanisha ulichokisema. Au unataka director aseme hilo ni kweli ni dongo kwa domo?? Mchambuzi umekuwaje lakini 🙂🙂🙂🙂🙂😀fasihi ni mali ya hadhira, ni ruksa kwa hadhira kutafsiri kwa maana mnayoona ila fanani wala hakuwa na maana hiyo.
I beg to differ. In art and literature (Music included) there is never an accident/coincidence. Anything and everything depicts or portrays a message either for clarity ama muendelezo/muunganiko wa story. Haikuwa kimakosa Kuonyeshwa jina hilo kwenye fulana, kutajwa kwa majina yaliyotajwa ama hata maudhui yote ya video na mashairi.
Ni mtazamo wangu tu mkuu, I'm a big fun of art and poetry and Roma did justice to this song...........