Recent content by goddy shaneyl

  1. goddy shaneyl

    Baba Askofu Gwaj ashukuru sana huu msiba na Hii Ramadhani

    Mkuu naomba PM kama uko nayo tafadhali.
  2. goddy shaneyl

    DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

    Usipotoshe sana mkuu...inawezekana kweli amekengeuka lakini stay on point ili watu waweze kujudge objectively...Nadhani ilikuwa hivi; Muandishi: ......Swali jingine muheshimiwa ni kwamba, kule bungeni tunasikia kuwa wengine wanasema wanajuana na wako tayari kutajana wenyewe kwa wenyewe...
  3. goddy shaneyl

    Namshangaa Zitto Kabwe kwa hoja dhaifu

    Zitto kaomba kuthibitishiwa uwepo wa hizo Tani 1.5M na siyo kutajiwa idadi ya maghala kama ulivyotaja mtoa mada.....Kama kweli hoja ya Zitto ni dhaifu, kwanini wapinzani wake kisiasa wasiitumie fursa hii kumprove wrong then tuone kama kweli ataachia huo ubunge wake aliouweka rehani? Otherwise...
  4. goddy shaneyl

    UKAWA wanapenda sana kusikiliza hotuba za Rais Magufuli

    Huwezi kuwa 'MKOSOAJI MZURI' kama wewe sio 'MSIKILIZAJI MZURI'.....wapinzani wanalazimika kusikiliza hotuba za watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza hata kama sometimes ni za ajabu ajabu (Non-sense)!!
  5. goddy shaneyl

    Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

    Hivi mtu unaanzaje tu kuota ndoto kama hii?? Funguka tu kuhusu source ya 'ndoto' yako mkuu....
  6. goddy shaneyl

    Mtatiro: Umefanyika Wizi wa shilingi milioni 369, mali ya chama cha wananchi CUF

    These people are so dramatic kwakweli!!! Hivi hawajisikii aibu hawa? Ukweli utajulikana tu no matter how long it takes.
  7. goddy shaneyl

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    "Natamani siku moja Malaika washuke hata waifungie hii mitandao ya kijamii......." "Ole wake mtu atakayeleta fyokofyoko........sijaribiwi"
  8. goddy shaneyl

    Mtabiri: Viongozi wakubwa wa kisiasa kufariki na Chama Kikubwa kusambaratika mwaka 2017

    Hivi LEMA alitabiri kuhusu nini tenaaa? (Huo utabiri namba 2 mmhhh!!!)
  9. goddy shaneyl

    Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Kwani Mahakama ndo zinaruhusu ushoga? Wafungwe tu...maana hakuna namna nyingine.
  10. goddy shaneyl

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Kwanza kabisa unaweza kufanya biashara ya kuuza mayai....either mayai ya kisasa au ya kienyeji. Kwa upande wa mayai unaweza kufanya kautafiti kidogo tu ili uweze kujua maeneo ambayo unaweza kupata mayai kwa bei nafuu zaidi.... Kwa ufahamu wangu, tray moja ya mayai ya kisasa unaweza kupata kwa...
  11. goddy shaneyl

    Maamuzi ya Serikali ni Shaghala Baghala! No Coordination! Do We Need a System, or Hii ya 1-Man Show inatosha?

    Mkuu sitaki kuamini kuwa huu mchakato wa kupandishwa kwa bei ya umeme ndio uliokuja kuibua suala kama hili la kulipana M60 au hilo la Unit 700.......Fikra zangu zinanituma kuamini kuwa Waziri mwenye dhamana alikuwa anafahamu haya hata kabla ya sakata la bei ya umeme kuanza....ALIKUWA WAPI...
  12. goddy shaneyl

    Songa ametuletea hiki hapa. Songa ft jaymoe-Mwendo tu

    Huwa namsikiliza huyu jamaa kwa kiasi (Japo naweza nisikuzidi kwa kumfahamu) na baadhi tu ya kazi zake nazozifaham ni kama vile; 'Niite Songa, Hisia za moyoni, Yule jamaa, Baada ya kila kitu aloimba na "Umbwa", Hero, Enzi za utoto, Sio Lazima, mwendelezo aloimba na One na nyingine unazoweza...
  13. goddy shaneyl

    Songa ametuletea hiki hapa. Songa ft jaymoe-Mwendo tu

    Mhhh!!! Ubovu wake ni upi? Je ubovu upo kwenye arrangement ya instruments/Beat? Lyrical Flow? song write-up? Melodies? au nini hasa? au hakupaswa kuimba na J.moe? NIMEJARIBU KUUSIKILIZA NA KURUDIA TENA NA TENA....I don't really get your point brother. Hebu fafanua japo kidogo kuliko kupiga ramli.
Back
Top Bottom