Kuchakuro Ps
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 443
- 525
Siyo yeye Yule!!daah Gwajima kazingua sana, kweli dini biashara siku izi!!
Siyo yeye Yule!!daah Gwajima kazingua sana, kweli dini biashara siku izi!!
Umeiona?Unaweza nitumia hiyo video
naitafuta hiyo klip sijaiona badoNimeiona mchunguji yuko vizur kwenye mahubiri na kuzungusha kiuno hakika mchungaji amewakilisha vizuri wazee
Umeiona?
[/QUO
Kwa anayeitaka aje pm then nitamfanyia mchakato
Mkuu naomba PM kama uko nayo tafadhali.Leo insta haijajafuka sana naona wambea wengi bado wanaomboleza na wengine wako kwenye Mfungo,
Baba Askofu gwaj ashukuru sana huu msiba wa taifa na hii Ramadhani la sivyo........!
Cc Zero iQ
Nirushie mimi mkuu.Nimeona video yake, hakika huyu mpigaji kazingua.
Nataka niwaonyeshe waumini wake vindaki ndaki nione wanasemaje