Songa ametuletea hiki hapa. Songa ft jaymoe-Mwendo tu

Hakuna wimbo hapo

Disappointment...Songa anaimba manini haya??
 
Ngoma ya kwanza mbovu kuwahi kuisikia tangu kuundwa kwa tamaduni
Mhhh!!! Ubovu wake ni upi? Je ubovu upo kwenye arrangement ya instruments/Beat? Lyrical Flow? song write-up? Melodies? au nini hasa? au hakupaswa kuimba na J.moe? NIMEJARIBU KUUSIKILIZA NA KURUDIA TENA NA TENA....I don't really get your point brother. Hebu fafanua japo kidogo kuliko kupiga ramli.
 
Unamjua songa lakini au ndo nyimbo yake ya kwanza kuisikiliza? Tofauti na hii ni nyimbo zake zipi nyingine unazozijua?? Tuanzie hapa kwanza
 
Huwa namsikiliza huyu jamaa kwa kiasi (Japo naweza nisikuzidi kwa kumfahamu) na baadhi tu ya kazi zake nazozifaham ni kama vile; 'Niite Songa, Hisia za moyoni, Yule jamaa, Baada ya kila kitu aloimba na "Umbwa", Hero, Enzi za utoto, Sio Lazima, mwendelezo aloimba na One na nyingine unazoweza kujazia hapo'....Ni ukweli usiopingika kwamba SONGA amebadilika sana kwenye wimbo huu wa MWENDO TUU ukilinganisha na aina ya muziki ambao amekuwa akiufanya tangu awali....lakini sidhani kama mabadiliko ya aina hiyo yanatosha kujustify madai kuwa wimbo huu ni MBAYA KULIKO ZOTE ZA TAMADUNI MUSIC. To me huu alioimba na Jmoe ni wimbo mzuri with a different taste; na pia nauona kama moja ya nyimbo inayoweza kufanya vizuri sana pengine kuliko nyimbo zake zote alizowahi kutoa licha ya mistari aliyotumia humo kuwa myepesi kiaina. Otherwise unipe darasa zaidi ili nielewe the reason behind your judgment against that new Song.
 
Ok mkuu nimekuelewa...ngoja niendelee kumsubiri kule niliko mzoea. Huku aniache kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom