Kagame na mkewe wapagawa na wimbo wa Darassa

Jamaa anaejidai wa kimataifa roho itakua inamuuna sana anataman angekuwa yeye
 
Haiwezi muuma kwanza hata yeye anashangaa kwann alnalisukuma gurudumu pekee yake,anataka waongezeke na hata wakiweza wampite zaidi yake,wapo sasa ndio hapo anapopata shida
Tungeskia nyimbo yake ikipigwa na kuchezwa na kagame, ila huyu mtoto kaja juzi kamfunika ata kokorochi imeshindwa kusikika...

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Haiwezi muuma kwanza hata yeye anashangaa kwann alnalisukuma gurudumu pekee yake,anataka waongezeke na hata wakiweza wampite zaidi yake,wapo sasa ndio hapo anapopata shida
Huyu alivo na roho mbaya kusaidia wengine angemsaidia nani... rejea mazungumzo ya mzee dimpoz

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Mbona video ya kutengeneza hii... Ingekuwa real... Ningesikia sauti ya makofi kupigwa mwishonii...
 
Back
Top Bottom