Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Yasije yakakuta yaliyomkuta lema
 
Siyo bure wewe ni mmoja wa hao majaji/ hakimu au wazee wa mahakama (talishi).
Wakati anatujulisha kwa Mara ya kwanza jumapili ile, tulimwita, muongo, amelala bila kula, na ameshindia viroba!....Leo yametimia tunamgeuzia kibao eti yeye ni hakimu, MTU wa system, jaji, na anandugu yake ktk serikali kwamba wanamnyetishia habari! Ha ha ha sisi watanzania no viumbe adimu sana kupatikana duniani, maana hatuwazi na kufikiri kama binadamu wengine. Utashangaa [HASHTAG]#Melo[/HASHTAG] aratafutwa atoe taarifa za mzushi
 
Asante mkuu kwa kunielewa watanzania sisi watu wa ajabu sana
 
Toka Tanzania ipate Uhuru sijawahi kusikia mbunge kafungwa
Ila hii imevunja record na hii inanipa mashaka sana na mahakama za Tanzania kwamba zinatumika kisiasa.
Nyamaza mtoto wa juzi.Eti haijawahi kutokea mbunge kufungwa!Vitoto vya juzi tu halafu mnajifanya mnafamu kila kitu!Pyuuuu!!
 
Nyamaza mtoto wa juzi.Eti haijawahi kutokea mbunge kufungwa!Vitoto vya juzi tu halafu mnajifanya mnafamu kila kitu!Pyuuuu!!
Kuna taarifa kuwa Mbunge wa chadema amehukumiwa miezi sita jela. Ndoto yake ilikua ya kweli.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom