Namshangaa Zitto Kabwe kwa hoja dhaifu

Namshangaa Zitto Kabwe kwa hoja dhaifu

Mkuu, maghala yote ya wakala wa chakula hapa nchini (NFRA) yanafahamika yaliko na hakuna hata moja lililoko jeshini bali yako Makambako, Kipawa, Kibaigwa, Songea na kwingineko na kamwe hakuna ghala lililoko kwenye kambi za jeshi ulizozitaja. Chakula kilichoko Oljoro, Mgambo, Tabora na hata pale 41 KJ (Majimaji, Nachingwea) ni kwa ajili ya matumizi ya askari wenyewe. Acha kuropoka kiongozi, serikali haina chakula cha kutosha kuweza kukabiliana na baa la njaa katika kipindi hiki.

Watu kama wewe wananifanya niipende JF, huwa hamna bra bra ni data tu hahahahah.. "LIKE"
 
The current food shortage situation in Tanzania is appalling....that is the reason people have been in a compendious laconic lacuna. Not a recapitulation..But let me tell you this..that it is lecah and pulchritudinous. That in a lekgotla, in an imbizo, flagitious and enervating the matters where as cogitately ruminated.

We have all seen it how the recidivistical politicos move from budget disappearance to budget doctoration. Now we are farced with a debilitating, exasperating, a rebarbative and humongous food shortage. And these shortage is emanating with financialLobotomization...but we pray that this will not ignite a clamorous remonstration and even come to think of it...how dare they deplete the citizens of their obstreperous and vociferous modus vivendi??

Enough of this vilification and solipsism...this is execrably pugnacious, pestilential and attenuating. Imagine the imbibition of political rodomontades which has kept us in abject ululation.... why??

Now Tanzania is in a political somnambulism and malocclusion. Tanzania is in financial and economic bantingism..Look at the way the game politics is becoming a pokable..what a political holy bully..what a political hoity toity..what a political foodie doodie...what a political hocus pocus they have come with..what a political jabberwocky..what a political poppycock..what a political gobbledygook????????

With this concatenation, we ask mukulu to accept our pertinacious circumlocution.. Accept our pertinacious circumambagious grandiloquence and magniloquence..

But let me tell him this, we will not kowtow in his poohoo..we will refuse to kowtow in his poohoo

THANK YOU

Ukiambulia chochote niambie

Hahahahaaa.. nakweli hatujaambulia kitu sababu ulikuwa na makusudi ya kufanya tusiambulie badala ya kuchangia mada
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II

Mkuu, Zitto ameongea kwa takwimu akionyesha taarifa ya kiwango cha chakula kwenye maghala yote ya kuhifadhi chakula..
Wewe umetuonyesha kuwa unavijua vikosi vya jeshi tu...

Njia rahisi ya kumkomoa zito ni kwenda nae kwenye kila ghala la jeshi mfanye mahesabu ikifika 1.5 mil tuambieni tumshikie bango ajiuzulu.
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II
hilo jina kama nalijua (Salamba)hatari sana uyo binadamu
 
Hii yako ndio hoja dhaifu, Zitto hajazungumzia idadi ya maghala amezungumzia uhaba wa chakula, kwa mantiki kama hiyo yako ni kama Tz ilivyo na rasilimali nyingi kuliko nchi nyingine Africa lakini ni maskini. we ni walewale CCM Hoyee
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II
Kimbembe ni pale unapotajiwa idadi ya maghala badala ya idadi ya tani zilizotajwa. Hata yangekuwa maghala elfu ishirin au million mbili Tanzania nzima. Hiyo haijalishi. Kimsingi ni kile kilotajwa kipooo????
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II
Umetaja maghala, hujataja tani za nafaka zilizopo kwenye maghala hayo. Kwani kuwa na ghala ndiyo kuwa na chakula?
Jifunze kujenga hoja.
 
Hahahahaaa.. nakweli hatujaambulia kitu sababu ulikuwa na makusudi ya kufanya tusiambulie badala ya kuchangia mada

Hahaha...Wapo watakaoambulia mkuu....ujumbe mzito sana huo cheza na dictionary utakuja niambia.
 
Hahahahaaa.. nakweli hatujaambulia kitu sababu ulikuwa na makusudi ya kufanya tusiambulie badala ya kuchangia mada

Hahaha...Wapo watakaoambulia mkuu....ujumbe mzito sana huo cheza na dictionary utakuja niambia.
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II

Ishu hapo sio kuna maghala mangapi nchini...? maghala yanaweza kuwa hata mia2..ishu ni yameifadhi chakula kwa kiasi gani...? Mimi nilidhani ungetaja ghala then ungeainisha lina tani ngapi ili tujue tuna kiasi gani..?
 
The current food shortage situation in Tanzania is appalling....that is the reason people have been in a compendious laconic lacuna. Not a recapitulation..But let me tell you this..that it is lecah and pulchritudinous. That in a lekgotla, in an imbizo, flagitious and enervating the matters where as cogitately ruminated.

We have all seen it how the recidivistical politicos move from budget disappearance to budget doctoration. Now we are farced with a debilitating, exasperating, a rebarbative and humongous food shortage. And these shortage is emanating with financialLobotomization...but we pray that this will not ignite a clamorous remonstration and even come to think of it...how dare they deplete the citizens of their obstreperous and vociferous modus vivendi??

Enough of this vilification and solipsism...this is execrably pugnacious, pestilential and attenuating. Imagine the imbibition of political rodomontades which has kept us in abject ululation.... why??

Now Tanzania is in a political somnambulism and malocclusion. Tanzania is in financial and economic bantingism..Look at the way the game politics is becoming a pokable..what a political holy bully..what a political hoity toity..what a political foodie doodie...what a political hocus pocus they have come with..what a political jabberwocky..what a political poppycock..what a political gobbledygook????????

With this concatenation, we ask mukulu to accept our pertinacious circumlocution.. Accept our pertinacious circumambagious grandiloquence and magniloquence..

But let me tell him this, we will not kowtow in his poohoo..we will refuse to kowtow in his poohoo

THANK YOU

Ukiambulia chochote niambie
Samahani mkuu unaweza yamwagia maji haya maneno yako angalau yalainike kidoogo ili yasomeke ns kueleweka?
maana nahisi mabonde kwenye ubongo tayari[emoji4]
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II

Wewe usiye na hoja dhaifu kama Zitto ningetemea uweke kila moja ya hayo maghala ina tani ngapi?
 
Mleta mada sijui kama unaelewa ulichoandika! hizi kambi ungetuambia kila kikosi kina tani ngapi za nafaka.badala yake unatuletea kambi ulizokariri kuwa zipo tangu Enzi hizo! Zingine kwa sasa hazizalishi chochote tena. Usiwe unakurupuka kama uharo.
 
Zitto kaomba kuthibitishiwa uwepo wa hizo Tani 1.5M na siyo kutajiwa idadi ya maghala kama ulivyotaja mtoa mada.....Kama kweli hoja ya Zitto ni dhaifu, kwanini wapinzani wake kisiasa wasiitumie fursa hii kumprove wrong then tuone kama kweli ataachia huo ubunge wake aliouweka rehani? Otherwise, Mheshimiwa Zitto bado ana hoja ya msingi.....na hoja yake ni kwamba hakuna akiba ya chakula kama serikali inavyojinasibu.
 
Zito anashangaza sana kwa kauli zake na hasa hii ya kujiuzuru ubunge kama hakuonyeshwa tani 1.5m za nafaka.Hivi ilikuwa lazima kutishia kujiuzuru ubunge kwa kutegemea taarifa alizonazo za tani 90 eifu?.Nijuavyo ana madeni ambayo anatakiwa kuyalipa kwa kupitia kazi yake ya ubunge kama alivyotoa tamko la mali zake mwezi uliopita. Kujiuzuru kwake kuna maanisha kuwa ataanza kuuza assets zake zote ili kulipa deni alilonalo au ana vyanzo vingine vya mapato?.Serikali imesema ina tani 1.5m hii inaweza kuwa katika nafaka iliyoko gharani au kama pesa ambayo haijatumika kununulia nafaka ambayo iko mikononi mwa wakulima.
Hayo madeni anaweza kuyalipa hata kwa kazi za consultancy nje ya nchi kama mtaendelea kubana hapa! Maelezo ya serikali yanajichanganya kuhusu akiba ya chakula!
 
S

Mkuu staili ya utendaji ya serikali yetu ikiwemo hata hii ya awamu ya tano inafahamika pamoja na jitihada za kufanya marekebisho,bado watu ni wale wale na mfumo ni ule ule.Kwa msingi huo basi Zitto kama anahoja alitakiwa kuiweka tu wazi watu wajitie kitanzi wenyewe,hakuhitaji kutumia ubunge kama kipimo cha uzito wa hoja yake.Ina maana wananchi waliomchagua hawana kauli juu ya ubunge wake ila yeye tu ndio mwamuzi,Huo ni ubinafsi uliopitiliza na zaidi sana unafiki. Consultancy? Sidhani kama alipewa mkopo ili aje alipe kwa consultancy.
 
Hakuna habari iliyochanganywa hapo,ununuzi na utunzaji wa nafaka unapitia hatua zote za kibenki,unaweza kuwa na nafaka kiasi fulani au ukawa na pesa kiasi fulani,huwa ni mchakato wakati wote.
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II
Huenda jamaa kasoma bila kuelimika !Ndio maana anakurupuka na hoja zisizo na maana !
 
Hifadhi rasmi ya nafaka kwa nchi hii ni NFRA ambako Waziri Mkuu kasema kuna tani 88,000 tu.Hiyo tani 1.5 ni mazao yanayokadiriwa kubaki kwa wananchi na si serikali.

Kiasi cha chakula kilichokadiriwa kama ziada kwa mwaka jana ni tani milioni 3 nchi nzima.Serikali ikaruhusu kuuza nje na wanakadiria tani milioni 1.5 ziliuzwa.Hivyo, nchini tulibakiwa na tani milioni 1.5 (kutokana na makadirio ya serikali ) kiasi ambacho kwa namna yoyote ile kitakuwa kimepungua kwa kuwa kila siku watu wanakula.

Hivyo ,Maelezo ya PM yako wazi kabisa kuwa serikali ina hifadhi ya tani 88,000 za nafaka katika maghala ya NFRA.

Nyie mnaoendelea kusubiria tani milioni 1.5 mtasubiri sana.
 
Sioni kama umejibu hoja ya Zitto... Kutaja maghala ya serikali ni kuonesha tu kuwa unayajua.... Kwamba yana nafaka kwa sasa ni kitu kingine!!!

[HASHTAG]#Wekaukadapembeni[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom