Recent content by Giddy Mangi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Arumeru Mashariki hakueleweki!!!!

    Naaree nnduu a kweruu,Mh Mbunge Nasari upo kamili?Tupo kwa ajili ya kulinda kura zako,Hatochakachua mtu.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    Watu wa Haki za binadamu wanafanya maandamano mchana huu Jangwani Dar es Salaam kwa ajili ya kushinikiza Serikali hii dhalimu na yakinyama kuzungumza na Madaktari na kutatua matatizo husika.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    Watu wa Haki za binadamu wanafanya maandamano kwa ajili ya kushinikiza Serikali kuzungumza na Madaktari na kutatua matatizo husika.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Serikali yapeleka Madaktari 15 kutoka Lugalo

    Wakuu hii Serikali ni Ndembendembe.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Serikali yapeleka Madaktari 15 kutoka Lugalo

    Ni udhaifu mkubwa Serikali yeyote kushindwa kutumia busara na hatimaye kutumia nguvu na ubabe.Swala la serikali kuonyesha kuwa kama madaktari hawatakuwepo tayari basi wanaweza kutumia wanajeshi ni Udhaifu wa Viongozi wetu ambao hawana fikra pana na badala ya kutumia Akili wanatumia Nguvu.
  6. G

    JamiiForums Tanzania ukikuta zimetumika utareact vipi?

    Nchi inatumbukia kusiko julikana nyie mmeng'ang'ania tuuu ngono Jazbend zenu.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga posho za Wabunge

    330000 zinatakiwa saana na Walimu na Madaktari nchini.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo

    Okey nipo tayari
  9. G

    JamiiForums Tanzania Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

    Updates
  10. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na idara ya ideology and publicity: Giza nene!

    Kichaka kilichopo Makao Makuu kinatakiwa Kichomwe moto tuanze upya.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Chadema, CCM ni vita mpya Arusha Kuhusu uchaguzi wa Madiwani

    Ccm wamepanga kutumia B 4.5 Vijana Arusha kazi kwenu.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani wa CCM - Daraja Mbili (Arusha) afariki

    R i p diwani japo inasemekama kura zilizokupa ushindi zilikuwa za wizi.
  13. G

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    Kidumu chama cha mapinduzi
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa leo alfajiri ni nini?

    Bonde la Mpunga Mikocheni hacha mawazo mgando siye wenye hofu sio mafluck mafisadi
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa leo alfajiri ni nini?

    Sawa ufunuo wa Yohana Mbatizaji.
Back
Top Bottom