ukikuta zimetumika utareact vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukikuta zimetumika utareact vipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by noella, Jan 31, 2012.

 1. n

  noella Senior Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Maswala ya wivu tuweke kando jamani. Swala ni hivi kwenye wallet ya mpenzi wako kuna condom tatu ambazo walipewa kazini kwenye zile training za kuhusu ukimwi,zimekaa muda kweli kila ukipiga chabo unazikuta mara vaap umechungulia siku ya siku mbili zimetumika. Je utareact vipi?
   
 2. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Anastahili pongezi, atleast she cares...lol..))
   
 3. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja ya kureact! Zimetumika zimetumika tu, hakuna cha ziada hapo.
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Atareact vipi? Vyovyote vile namwambia nimezitupa maana naona zinachakaa halafu sina wakuzitumia naye halafu nakausha
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hapo wewe mdada unatakiwa ushukuru kwamba training imemsaidia
   
 6. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nchi inatumbukia kusiko julikana nyie mmeng'ang'ania tuuu ngono Jazbend zenu.
   
 7. 1

  19don JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  unamnunulia nyingine unamuwekea kwenye wallet
   
 8. S

  SMART1 Senior Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukiona manyoya .........ujue ameliwa!!!!
   
 9. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  labda katupa sema ungeona maganda ndo unge react vipi
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Nakwambia kama ingekuwa mimi nagenieleza amzitumia vipi na kwa nani, nakwambia huo ugomvi wake hata balozi hawezi kuamua
   
 11. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Simpo. Na mimi nitanunua condoms tatu nitahakikisha kaziona then after sometime nitakata mbili nitatupa ili ibaki moja then nitahakikisha ameona.then nasubiri reaction yake.
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  ntapotezea. Nina uhakika gani kama zimetumika? Kama aliona zinamjazia wallet akazitupa?

  Kuziona kwenye wallet daily sio ishu! What if anatumia then ananunua mpya na kuzireplace?
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Kha!! Ashukuru kwa kuvuliwa chupi mpenziwe?labda kama ni baamedi tu hapo sawa.
   
 14. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hahahhaa hii kali
   
Loading...