Recent content by ggerald

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa dharura kuokoa zali la mentali

    Ngoja kwanza tumalizane na hawajamaa wa escrow tutarudi kwako we endelea kula mzigo Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sipati picha .....!!!!

    Watu wangejenga vyumba vyenye sound proof
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mandela halisi aliuwawa na makaburu huyu ni feki

    Haya ndio matatizo ya kunywa double punch mchana ona sasa mada unazoleta
  4. G

    JamiiForums Tanzania Yaliojiri jana na yatakayojiri leo kumuaaga Tata Nelson Rolihlahla Mandela

    We lowa tu ukweli ni kwamba kazomewa na media zote zimekiri hilo
  5. G

    JamiiForums Tanzania Yaliojiri jana na yatakayojiri leo kumuaaga Tata Nelson Rolihlahla Mandela

    Kazomewa tena sana ngoja zamu yake ya kuongea ifike uone watu wanavyotapika...thabo mbeki ndiye anashangiliwa sana
  6. G

    JamiiForums Tanzania Yaliojiri jana na yatakayojiri leo kumuaaga Tata Nelson Rolihlahla Mandela

    Rais wa africa ya kusini Jacob Zuma amezomewa sana na wananchi wakati akiwasili uwanjani....why? Tujadiane wote..
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ataweza kuningojea??Najiuliza Sana.

    Yani anakula anashiba na vyakula vyenyewe hiv vya siku hizi chipsi mayai na viwaliwali watakua wamekula kitambo we jipange tu kwa matokeo yoyote..... Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mmama anahatarisha ndoa yangu

    Mpe ile kitu ye nataka mwisho ataanza kukupakazaia mbovu atasema umemgonga wakati hujamgonga wanawake wana visa sana Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki jinsia ya kike, lolote la weza tokea!

    Na siku ukipewa kabla hujafanya chochote uagane na kiuno chako manake hakijazoea mikikimikiki Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana kimapenzi mtoto wa kigogo huyu wa serikali.

    Mueleze hisia zako vile we husikia juu yake hakuna njia nyingine na ukichelewa utakuta wajanja wamechukua Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najihis 1/2mwanaume coz sijawai toa bikira

    Nenda kanisani ukaombewe utakua una mapepo sio bure Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  12. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

    Daaah imefaa kaka ila kuna zile nilizokua nalipia mwanzo hazionyeshi nimepata zingine 13 tu ndo zinaonekana plus za nyumbani Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  13. G

    JamiiForums Tanzania Niambie technology gani?

    Mchawi kuingia ndani wakati milango na madirisha yote imefungwa Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  14. G

    JamiiForums Tanzania Vijana Angalieni muendako

    My friend kama umekaa unasubiri chadema wachukue nchi ili maisha yako yabadilike ur done. Jipange mwenyewe na hyo degree yako ya international relations ujiajiri kwa sababu tuna ushahidi wa wafanyabiashara wenye elimu ya darasa la saba na wanamafanikio makubwa sana ushauri wangu kwako ni huu...
Back
Top Bottom