utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
ndo nn sasa?
Hujaelewa nini hapo??
ndo nn sasa?
acha dharau mkuu, yeye stori yake inahusu kumgegeda yule dem sasa wewe unasema afikirie km angekuwa anafanyiwa yeye, nini sasa kugegedwa yeye au?
kam ww ni mwl wa kiswahili nenda shuleni, ulichoombwa hapa ni maoni yako shabash
kwa hiki kistory unaonekana ni mdogo hata condom sidhan kama inakutosha....
ooh sorry hivi umesema tusiku judge ok natania!!!!
Wakuu,
nimeanguka au nimeangukiwa? mtoto wa watu nimeangukiwa yaani siamini
duniani kwa zamu.
Iko hivi, kuna maombi ya kazi nilituma kwenye kampuni moja kubwa iliyoko
Africa nzima na Tanzania mikoa yote, sasa kwa hapa mjini kwangu kumbe
meneja ni mwanadafwada, si akareply officially kabisa" Kindly visit our
office.
Mtoto wa kiume nilichonotice ni namba za simu tu, maana kwanza alijibu
late.
So siku ya siku nikaanza mambo ya kuchat, ikanoga mpaka tukaanza Phone
sex, mtoto akapandisha mzuka si akaniita geto kwake usiku wa manane,
ofcourse niliwahi kwenda siku moja kabla kwa mambo ya kiofisi, so huyooo
na bodaboda hata sikuomba anipunguzie bei mzee nililamba vitu usiku
kucha, nilimpa shughuli akawa tu ana triple orgasm, kulipokucha
nikaandaliwa bonge ya chai ati naulizwa "bebi yai unataka Omillete
au..." ndo nikajua kumbe na mayai yana aina.
Kuna mzigo alikuwa ameagiza kutoka mkoa flani ila msafirishaji akawa
anamsumbua kweli kuwa hela imepungua nikaona anahangaika kila
anayempigia simu amrushie kwenye Mpesa anadai hana, na yeye anasema
ndani ana hela ya kula tu unless adrive kwenda benki, mtoto wa kiume
nikawaza mwisho nikafumba macho nikampa 70,000 kwa M-pesa aliyokuwa
anaitaka, hakuamini.
Anyway, jana ndo nimetoka na hadi leo kumekucha mapenzi yanaendelea,
nachohitaji wakuu, nifanyeje zali la mentali hili lisiniponyoke?
anaboyfriend wake lakini hamzungumzii tunapokuwa wote yeye na boyfriend
wake wote ni matajiri, full kubadilisha magari.
Hebu nipe mbinu ili nimantain hii relationship mpango wangu ni kumdunga
mimba mwisho wa siku nichumbie ingawa ni mkubwa sana kiumri, je hii
itazaa matunda? niambie lolote unaloona liatnifikisha mahali.
Thanks.
P.S. acheni kujudge...toa pendekezo, kama huna, pita kulia lol
ningoje nn mkuu?
naomba shule zisiwe zinafungwa
kwa hiki kistory unaonekana ni mdogo hata condom sidhan kama inakutosha....
ooh sorry hivi umesema tusiku judge ok natania!!!!
Hadi nijilengeshe, nilenge wewe kama una shabaha....ati nn? hebu jirengeshe uone ntakavyokushughulikia
Naomba shule zisiwe zinafungwa
Halafu nani atawafuundisha wakati mwalimu hana extra duty allowance
Story za kutunga huwa sizipendi kabisaaa