Wandugu naomba mnisaidie. Ninapobadili chanel au kuongeza na kupunguza sauti muonekano wa herufi au namba uko faint sana,hii inasababishwa na nini?
Daaah imefaa kaka ila kuna zile nilizokua nalipia mwanzo hazionyeshi nimepata zingine 13 tu ndo zinaonekana plus za nyumbani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Osd transparency mbona sioni hicho kitufe kwenye remot?
Hongera broo but mbona kuna kibox kinakaa katikati ya tv hicho kinatolewaje
mkuu Nitonye kweli "umenitonya" mana duh tunapata shida sana ya kununua muda wa kuangalia izo channel bei zao ziko juu mno ila kwa style iyo mbona tutatoka sana tu, 'maisha rahisi kwa mtanzania mwenye nia inawezekana'.Ingia menu, then system setting, then channel search, right click kwenye manual search then andika 531 au 570 then ok
Hongera broo but mbona kuna kibox kinakaa katikati ya tv hicho kinatolewaje
chanel zote zimegoma ghafla,nini yaweza kuwa tatizo,naomba msaada tafadhaliNenda kwny MENU halafu bonya OK, nenda kwny OSD Transparency weka 100
chanel zote zimegoma ghafla,nini yaweza kuwa tatizo,naomba msaada tafadhali
chanel zote zimegoma ghafla,nini yaweza kuwa tatizo,naomba msaada tafadhali
nimejaribu search upya,na kubadilisha uelekeo wa antena bila mafanikio.kibox kinaandika chanel list is empty! na king'amuzi kinaonesha open muda wote bila namba za channel.Hofu yangu ni kwamba wameblock,yawezekana hii kweli?!Anza kusearch upya mkuu au rekebisha uelekeo wa antena
nimejaribu search upya,na kubadilisha uelekeo wa antena bila mafanikio.kibox kinaandika chanel list is empty! na king'amuzi kinaonesha open muda wote bila namba za channel.Hofu yangu ni kwamba wameblock,yawezekana hii kweli?!
Kwa hiyo wataweka Ant-531 au Ant-570?Hamjui kama star times wamo humu tena verified.