Recent content by Gesi Kwanza

  1. G

    Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

    Kosa letu kuwaachia wazungu waendesha mifumo ya maisha ya kibinadamu ndo hao wanageuza mambo kupingana na dhumuni la muumba,leo tunashuhudia ndoa za jinsia 1,haki za binadamu,usawa wa kijinsia na upuuzi tele usiohesabik. Tukiendelea kuwachekea na ujinga wa watatuletea haki ya kuza ili midume na...
  2. G

    Sababu kuu ya Wanaume kupenda makalio

    Makalio makubwa bila "kushughulika" hamna kitu! Makalio ni "added advantage" tu ktk sifa mhm za mwanamke hususani kujishughulisha kwenye 'jando na unyago'.
  3. G

    Uvutaji Sigara

    Hii mada ni darasa zuri,nchi kutegemea sigara na pombe kama chanzo cha mapato ni laana ya waongozaji,Muumba katuzawadia madini,mbuga za wanyama,milima,ardhi,GESI n.k. havitoshi kuendesha bajeti yetu?
  4. G

    Front Page ya Gazeti la Uwazi

    Tatizo ni habari kuwa ya udaku au kutajwa kanisa? Vyombo na mamlaka husika zipo,PENGO yupo kama kuna udhalilishaji watachukua hatua! Acheni kulalama na mikwara. Kwani siri,agents wa kusafirisha unga wapo watu wa dini na hata vigogo...
  5. G

    PICHANI: SAKATA la Kugombea Kuchinja Lazusha Balaa TUNDUMA

    Watanzania tusimung'unye maneno hapa,hili suala lina sababu zake.Wala rais hapaswi kulaumiwa kwa hili.Kwani sisi ni watoto wa darasa la kwanza kuhitaji mwalimu atulize kelele darasani kila mara? Mambo mengi ni makusudi yetu kisha tunataka rais akemee! Hao viongozi wa dini vinara wa mambo haya...
  6. G

    Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

    Mshua akitoka ikulu atakuwa na utitiri wa visa vya kuiba,kumbe ndo maana anawasamehe wahujumu uchumi wa EPA,yeye alisamehewa kwa uhujumu wa msosi!
  7. G

    Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

    Ni kweli lakini tusisahau na yule shekhe aliuawa kwa kupigwa mapanga kipindi sambasamba na mauaji ya padri Mushi.Nashangaa huyu hatajwi au kundi lake halijali kilichotokea? Nashauri mtu anaemua ugomvi wa watoto wa2 asimkamate mkono m1wapo na kumpa nafasi mwenzake kupata nafasi kuendelea...
  8. G

    Matukio muhimu yanapuuzwa,nani alaumiwe?

    Wakati mvua kubwa ikiwa imeanza kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini kuna matukio yaa kutokea maafa maeneo tofauti yakiwemo kuharibika miundombinu na vifo.Tukio lililotokea eneo ambalo nilikuwepo jana J4 asb ni kijiji cha Kibaoni-Mgeta wilayani Mvomero.Mwanaume mmoja amekutwa amenasa mtoni...
  9. G

    Kuzuia mikutano ya hadhara ndiyo tiba?

    Kuna taarifa kuwa polisi mkoani Lindi wamezuia maandamano na mkutano wa hadhara ulioitishwa na chama cha CUF kujadili maazimio ya gesi yaliyotolewa na serikali.Pia kujua nini kinaendelea ktk mradi huo na ahadi ya kujenga viwanda vya mbolea na kufua gesi ghafi kabla haijasafirishwa. Je,serikali...
  10. G

    Pinda atekeleza maagizo ya Lowassa, aunda tume kuchunguza sababu ya kidato cha nne kufeli

    Tume ya Pinda ni FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE!! Hiyo tume inaenda kuchunguza nini ambacho hakijawahi kusemwa juu ya mgogoro uliopo ktk elimu? Serikali inayo majibu iache kupoteza pesa zetu tunazolipa kodi kubwa wananchi chokambaya(wengine wakisamehewa kodi) kwa kulipana ktk tume zao...
  11. G

    Waongoza mijadala kwenye TV wadhaifu.

    Suala la waendesha mijadala ktk tv au redio liko mtambuka kiasi,wakati mwingine ushabiki na kwingine ni kukosa udhaifu kama ulivyosema.Nakumbuka wakati wa sakata la sensa huyohuyo Masako aliendesha kipindi juu ya suala la waislamu kupinga kuhesabiwa.Ktk kuchangia mtazamaji m1 akapiga simu...
  12. G

    Mgogoro wa Kuchinja Wanyama Wachungaji Wameanza kukusanya Kati Za CCM Madhabahuni!!!!

    Ni aibu kama Watanzania wanadai haki zao za kidini kwa kuchinja,miaka yote hiyo iliyopita mlikuwa hamjaona tu hizo aya zinazoharamisha kula nyama iliyochinjwa na wasiokuwa dini zenu? Vyama vinaingiaje hapa ktk suala la dini? Au mnataka kutuaminisha kuwa siasa za nchi hii zinataka kuendeshwa kwa...
  13. G

    Mbuzi azaa binaadamu Singida

    hapana msielekeze lawama eti watu wametembea na huyo mbuzi,kibaolojia binadamu na mbuzi ni "species" tofauti hawawezi kuzaa,hiyo ni miujiza ya kibaolojia tu
Back
Top Bottom