Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,348
- 26,145
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi ya ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hiyo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii