PICHANI: SAKATA la Kugombea Kuchinja Lazusha Balaa TUNDUMA

PICHANI: SAKATA la Kugombea Kuchinja Lazusha Balaa TUNDUMA

Usuluhishi kutoka nje ni rahisi tu, ni ile alama ya 'halal' kuwekwa kwenye nyama iliyochinjwa kwa muislam ili kutofautisha na ile iliyochinjwa na wakristo au mashine.
Jamii ya kimataifa inatushangaa jinsi serikali yetu inaposhindwa kutatua tatizo hili ingawa kila siku wanasafiri nje ya nchi na wanaona utaratibu wa jamii ya kimataifa inavyohudumia wananchi wake kwenye swala hili kwa kutumia alama ya 'halal'

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Tatizo ni UCHUMI wa nchi THE GAP BTN RICH & POOR has GROWN... Serikali ya CHAMA Tawala imeshidwa kutatua Matatizo hayo sababu ya UFISADI sasa inaamua kutumia sheria ya Utawala wa KIKOLONI iliyotumika Maeneo Magumu kama NIGERIA... DIVIDE and RULE... Sasa ni kutumia DINI... CCM itanufaika... ANGALIA 2010 Rais single handadly aliigawa NCHI na akasinda UCHAGUZI... HAYA NDIO MATUNDA YAKE... kwahiyo tulazima turudi NYUMA Wachina hawatusaidii wanaleta wafanyakazi wa kwao; tunahitaji AJIRA especially DAR... Viwanda VINGI vya textiles NYERERE alivifanya LABOR intensive na sio Machine aliona MBALI na LABOR intensive sasa ndio watu wanapenda kuliko nguo zinazotengenezwa na Mashine...
 
Uongozi wa nchi hii umepoteza uwezo na haki ya kuwa madarakani. Bora ukae pembeni tu!!!!!
 
Naomba nirudie maneno ya Mhe E Lowasa "Serikali Serikali Serikali Serikali acheni kuogopa kufanya maamuzi magumu" JK Mungu akutie nguvu katika ili na uthubutu kuanza kufanya maamuzi magumu pale inapobidi" neno la Mungu lina sema Kila wakati na majira yake "kunawakati wa kucheka na wakati wa kulia,
 
Nchi ya walalamikaji hii,hakuna mtu wa kuchukua hatua zaidi ya kulalama tu,niliwahi kusema tupo kama kambare,wpte full madevu...,let's wait
 
RAISI MWISLAMU,MAKAMU WAKE MWISLAMU,JAJI MKUU MWISLAMU,MKUU WA USALAMA WA TAIFA MWISLAMU, IGP MWISLAMU,WAZIRI WA ULINZI MWISLAMU,WAKUU WA MIKOA 19 KATI YA 28 WAISLAMU,MATAJIRI 9 KATI YA 10 WAISLAMU, 78% YA WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NI WAISLAMU, 81% YA WAJUMBE WA TUME YA KATIBA MPYA NI WAISLAMU, 66% YA WAKUU WA WILAYA NI WAISLAMU
mpaka wachinjaji !!!
 
Fanya utafiti zaidi wa magaidi,wala kitimoto,wabishi na majambazi please..😱🙂😀😛
 
Enzi za MABABU... Angalia ndio hapo ninaposema tunahitaji MSAADA toka NJE... UTAWALA wa sasa UNAJARIBU KUANDIKA HISTORIA na kufuta HISTORIA ya SERIKALI HURU ya KWANZA toka kwa WAKOLONI; Unaongelea kuwa amani ilikuwepo toka enzi za MABABU zetu... hapana... ni PALE DAR ndio hao walioanzisha CHAMA cha TAA hakikuwa TANGANYIKA NZIMA na kilikuwa kama SOCIAL CLUB ndio Maana wakakivunja na kuanzisha TANU as a REAL POLITICAL PARTY halafu hapo ndipo wawaka wanamtuma NYERERE kwenda kuongea na WATEMI; MACHIFU na MANGI ambao enzi hizo walikuwa powerful na karibu sana na Utawala wa Mwingereza... Bila kuwarubuni hao na kuwahamasisha wanananchi wa Maeneo hayo kuipigia kura TANU halafu baada ya UHURU; kuvunja UCHIEF: UTEMI na UMANGI unadhani tungekuwa na kichi kimuungani kidogo tulichonacho? tungekuwa kama KENYA... Makabila Makubwa yanapokezana yanatafuta watu wa Makabila Madogo kufanya pact ili kupata kura... Lakini angalia from NYERERE; MKAPA; MWINYI; KIKWETE wote wametoka MAKABILA MADOGO unadhani ni kwasababu ya hao MABABU ZETU? HATA KIDOGO NI JULIUS NYERERE POINT BLANK!!!! PERIOD>>>>> TAKE IT OR LEAVE IT!!!

CCM ya sasa HIVI ni ULIMBUKENI... YAJARIBU kuandika HISTORIA na kufuta vyote vizuri JK NYERERE alivyohamasisha... IT IS A SHAME!!!
[h=2]Maaskofu Mbeya watoa pendezo la mgogoro wa Kuchinja!!!!!!!!!!!![/h]
Umoja wa Makanisa Mbeya umetoa pendekezo kuwa Suala la Kuchinja ni ibada na hivyo kujadiliwa na serikali ni kunyume na katiba.
Suala la Ukaguzi wa nyama kama bidhaa zingine ni la Kitaalamu na hivyo wamependekeza lisimamiwe na wataalamu wa serikali .
Wamemtaka Rais kuelewa kuwa nchi haiwezi kuendeshwa kwa desturi na mazoea na kwamba kwa kufanya hivyo kutaleta machafuko makubwa.
Wametoa mifano kadhaa ambayo mabadiliko hayo yamefanyika na katiba imeheshimiwa.
1.Desturi ya nchi hii ni kwamba ni nchi ya ujamaa yenye msingi wa chama kimoja lakini nyerere akibadilka ghafla na kuingia katika ubepari huku yeye akikubali kung'atuka
2. Mabenki ya serikali na binafsi kulikuwa hakuna Islamic Benking tangia Uhuru lakini Waislamu wamelalamika na serikali hiyohiyo isiyokuwa na dini imeruhusu ,NBC, Stan bic, KCB n.k. Kumbuka kuwa Islamic Benking ni ibada ya kiislam na ndani ya benk hizo kuna Wakristo walisha wekeza pesa zao humo. Maamuzi hayo yamefanyika bila kuwajulisha
3.Suala la Mahakama ya Kadhi Serikali imesema ni ibada ya Kiislam na imependekeza liachwe lianzishwe na Waislam na kulipiwa na Waislam.
4. Uchaguzi 2010 Wakristo Waliomba usifanyike Jumapili lakini serikali hiyohiyo ikasema haina dini
5.Suala la Ndoa serikali imekubali kufanya kazi ya Kitalam ya kuanda vyeti vya ndoa huku kazi ya kufunga ndoa imebaki kwa dini husika
6.Suala la kuosha maiti kufanya mazishi ni la kiimani na limeachwa kwa viongozi wa dini
7.Katika Uniform za Wanafunzi serikalini kulikuwa hakuna hijabu na hayo ndio mazoea Waislamu wamelalamika wakapewa mambo yao yanayo wabagua kwa misngi ya dini, Vazi la hijabu ni la imani
8.Rais Kikwete anawaapisha watendaji wake na kila mtu anaapa kwa kushika kitabu cha dini yake.Suala hilo linafanyka hata Bungeni .​
 
Maaskofu Mbeya watoa pendezo la mgogoro wa Kuchinja!!!!!!!!!!!!

Hayo ndio MAASKOFU wa MBEYA walivyosema???

** KWELI na WAO WANASHIDA; KAMA ni MIMI NINGESEMA HIVI... Wakati wa MACHAFUKO Z'BAR na PEMBA na DAR Waislamu wengi waliondoka NCHINI wakaelekea UINGEREZA, na USA hawakwenda SAUD ARABIA... HUKO UK na USA NYAMA zinachinjwa na MASHINE... na Hauwezi kufuatilia... KATIBA ZAO NI KALI unawekwa NDANI...

BANK zano pia hazina ISLAM ACCOUNTS or NON ISLAM Accounts lakini Wanaishi kwa FURAHA na kununua MAJUMBA HUKO

Si tuseme tu ukweli "Nchi haitawaliki tena" imetawaliwa na madudu yaliyopandikizwa na chama tawala kwa kuanza kuwatajia wananchi wakati wa kampeni mambo ya udini na ukabila!!! Kitokacho ndani ya mdomo wako ndicho kilichoujaza moyo wako!! We are paying the price!! Kampeni za uchaguzi za maji taka zimezaa haya mambo.
 
kusema wakristu wasichinje ni sawa na kusema watoto wao wasisome Walah kula pia wasimudu gharama za maisha ya kila siku
 
Watanzania tusimung'unye maneno hapa,hili suala lina sababu zake.Wala rais hapaswi kulaumiwa kwa hili.Kwani sisi ni watoto wa darasa la kwanza kuhitaji mwalimu atulize kelele darasani kila mara? Mambo mengi ni makusudi yetu kisha tunataka rais akemee! Hao viongozi wa dini vinara wa mambo haya (wanayoita haki za binadamu) wamegundua leo kuwa wanapoteza ibada zao kwa kutochinja? wana ushahidi wa vitabu vyao? tuache uzandiki huyo rais wakati anaingia madarakani alisifawa kuwa chaguo la mungu,vipi leo amegeuka na kuwa chaguo la nani???:behindsofa:
 
Nisha sema viongoz we2 wapo ili wapokee wagen toka nje.hakun k2 hopo.
 
Ndugu yangu Lu-ma-ga Nigeria mbona fujo hazijaisha wanauana sana!! Unataka nasisi tuanze kuuwana kama Nigeria. Vita vyetu si juu ya nyama na damu. Ni juu ya falme, mamlaka, nguvu za giza za dunia hii na roho chafu. Kasome Waefeso 6: 12. Jibu ni kusugua magoti hadi kieleweke. Nigeria vita vya kidini havitaisha hadi wakristo watakaposimama palipobomoka!! Hata sisi tunatakiwa kufanya hivyo.
Huko Nigeria wakristu walivumilia muda mrefu lakini ilipofika point of no return, walisema liwalo na liwe, tokea hapo heshima kwa dini zote ikarejea.
 
Haya mambo yalitakiwa yamalizwe juzi na JK alivyoongea na wananchi,alishindwa nini kutoa tamko anabakia kulalamika kama akina sisi kwanini asiige mfano wa Raisi mstaafu Mwinyi enzi za mabucha ya kitimoto,JK ametufikisha hapa ana maana hajui kuwa serikali haina Dini mpaka waanze kulazimishia uchinjaji !!! hakuna sehemu yoyote ya katiba inayosema wakristu hawaruhusiwi kuchinja so ni halali yao kuamua au vinginevyo.Binafsi mimi nikitaka kuchinja simtafuti wa upande wa pili huwa ninachinja tuu,sasa basi wawe wanachinja na noah.Fyuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hayo ndio MAASKOFU wa MBEYA walivyosema???

** KWELI na WAO WANASHIDA; KAMA ni MIMI NINGESEMA HIVI... Wakati wa MACHAFUKO Z'BAR na PEMBA na DAR Waislamu wengi waliondoka NCHINI wakaelekea UINGEREZA, na USA hawakwenda SAUD ARABIA... HUKO UK na USA NYAMA zinachinjwa na MASHINE... na Hauwezi kufuatilia... KATIBA ZAO NI KALI unawekwa NDANI...

BANK zano pia hazina ISLAM ACCOUNTS or NON ISLAM Accounts lakini Wanaishi kwa FURAHA na kununua MAJUMBA HUKO

acha uongo!islamic bank zipo na kuna mabucha ya kiislamu(halal).
 
acha uongo!islamic bank zipo na kuna mabucha ya kiislamu(halal).

Kwahiyo kila MTU anakwenda kununua NYAMA kwenye Mabucha ya KIISLAMU? London? na New York? Sijaona Mimi
Nisaidie...
 
Sikujua kuwa NCHINI Sasa kuna MABUCHA ya WAKRISTO na WAISLAMU... Tunaiharibu NCHI sisi wenyewe... ni kwanini hatujaribu angalau kupata MISAADA ya USULUHISHI TOKA NJE?

Au MPAKA tumwage DAMU???

Nje tena mkuu?

Haya unayoyaona yametoka nje. Kuna watu wanahubiri chuki makusudi ili kuamsha hisia za wasioelewa nini kinaendelea ili mradi tu wafanye fujo. Wakishafanya fujo na kuchukuliwa hatua, wao hurekodi na kutuma video kwa mabwana zao kwamba kunahitajika fedha za kusaidia dini kwa kuwa inaonewa. Hapo mafungu ya fedha za kudhamini ugaidi yanaanza kumiminika mifukoni mwao
 
Lakini Wasinge fanya chochote kama hawahakikishiwi KUPEWA PESA; Wengi hawafanyi kazi lakini wana MAJUMBA MAZURI wanakula VIZURI na nikufanya MIKUTANO na kuongea contradictions...

Sasa What is needed is to follow the MONEY TRAIL before it is too late... NDIO HAPO MSAADA toka NJE...
 
kuchinja tu?kweli hhizi ni nyakati zamwisho.tunaenda wp?ule umoja ushirikiano haupo tena.kwann tumefika huko?
 
Huyu RPC hana adabu ujana unamsumbua haya mawani meusi anamtingishia nani mbeya aiangalie vizuri

Unamshangaa RPC!!
Mimi Juzi Jumatano nlisafiri na Balozi Mwapachu alikua nae katupia km hizo..
 
Back
Top Bottom