Front Page ya Gazeti la Uwazi

Front Page ya Gazeti la Uwazi

kama huna jambo muhimu la kuchangia wazo afadhali uache kuchezea maisha ya watu! (viongozi wa dini wanayo maadili ya kiroho na wana upeo mkubwa zaidi kushinda mtu wa kawaida) Sio hekima wala heshima kukashifu viongozi wa dini au kuzua jambo ambalo huna uhakika nalo. Ndugu yangu, nafikiri una tatizo mrudie Mungu wako akusamehe...vinginevyo umeshaporomoka... kwaheriiiii....
 
Tatizo ni habari kuwa ya udaku au kutajwa kanisa? Vyombo na mamlaka husika zipo,PENGO yupo kama kuna udhalilishaji watachukua hatua! Acheni kulalama na mikwara. Kwani siri,agents wa kusafirisha unga wapo watu wa dini na hata vigogo...
 
shigongo katumwa na jk....sio bure!!


atakufa kifo kibaya sana shogogo ana laana za watu wengi hadi kanisa.
 
Siku zote watu wa gossip wanaandika habari kwa style ya inverted pyramid ukitaka kucheka soma ndani na kwa upuuz wetu wa bongo hayo ndo magazeti yanayoongoza kwa kuuzwa bongoland ----n people ----n country damn
 
Sijasoma commete yyt inayofurahia jambo hili lakini kwa upumb******* unaanza kuwakejeli waisilamu
Hivi shingongo ni nani kiimani
Hv unajua usafi wa kiongozi wako kidini?????
Tafadhali sana hakuna mahali kwenye post yangu nimeandika waislam!!! Give me a break man. Nilisema wenzetu, kwa nini unakurupuka? Wenzetu wako wengi. Naamini umenipata. Kama huna uhakika na unachomjibu member hapa bora ukae kimya.
 
Eric Shigongo leta ushahidi, ili tusikuweke kwenye kundi moja na mapapeti wa Serikali hii dhaifu. Kwa kuandika hivyo tu haitoshi kunyamazisha tusidai haki zetu za KUCHINJA vitoweo........
 
Back
Top Bottom