Mimi ndiyo mwenyekiti wa CHAMA CHA WAVUTA SIGARA TANZANIA, (CHACHAWASITA) haya mnasemaje?
Ni kweli lakini pato la taifa litayumba kama tukiacha kuvuta sigara, kwani bajeti zote za nchi hii zinaanzia kwenye sigara na bia, tukiacha kuvuta kwa mtaji huo zahanati zitajengwa kweli nchi hii, nakuunga mkono kwa kila ulicho kisema kwamba upo sahihi, lakini upande huu wa pili tutasalimika maana bajeti haipiti bila wavutaji sigara kuichangia kwa kuongezewa bei! Wavutaji wakiacha kuvuta bila shaka tutaingia kwenye mkwamo mkubwa!
Wavutaji wote kawashtaki hapa!
![]()